Plato JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 420 Reaction score 94 Jun 10, 2011 #1 Hali ni mbaya.ule waraka wa waziri wa kubadili katiba za vyuo umekataliwa,wanafunzi wameanzisha vurugu na wajumbe wa kukusanya maoni wamenusurika kipigo.
Hali ni mbaya.ule waraka wa waziri wa kubadili katiba za vyuo umekataliwa,wanafunzi wameanzisha vurugu na wajumbe wa kukusanya maoni wamenusurika kipigo.
M Mwanaweja JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 3,575 Reaction score 526 Jun 10, 2011 #2 hongera mkuu endelea kutuhabarisha
TUNTEMEKE JF-Expert Member Joined Jun 15, 2009 Posts 4,587 Reaction score 580 Jun 10, 2011 #3 CCM wanataka kuingiza mizizi ktk tasinia ya elimu kwa aina yake.Sasa hatukubali kabisa.Logic ya kubadilisha katiba ipo wapi!
CCM wanataka kuingiza mizizi ktk tasinia ya elimu kwa aina yake.Sasa hatukubali kabisa.Logic ya kubadilisha katiba ipo wapi!
M Mtabe JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 675 Reaction score 96 Jun 10, 2011 #4 Kwani wasomi hawawezi kujadili bila ya vurugu?