Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

Aliyesoma huu utumbo anisaide kusamaraizi jamani
 
Lowasa ni m-meru/m-machame anayeitwa m-masai kisa babake/familia yao kuhamia monduli miaka mingi.
 
Acha unafiki wewe sasa kwanini nawe usiunde chama cha kabila lako.
Nyie ndiyo mnaogawanya watz kwa udini ukanda ukabila na mengineyo huku mkifaidika na migogoro ya watanzania hao.
Hufai kuigwa wewe ni sumu ya watanzania jenga umoja acha kuhubiri mipasuko isiyo na tija.
Watanzania wote sisi ni wamoja isipokuwa nyie mnaolilia vyeo kwa kulamba viatu vya wakubwa.
 
Kama uko chadema na unajifanya kada damu damu na pengine hata huli na ufanyi shughulinza kukuingizia kipato ila tu unashadadia hiki chama nakuonea huruma! Kwenye chadema hakujawahi yokea mtu mweledi; mdadisi; mwenye kudhubutu kutata kujua jinsi kiundani kuhusu chama; aliejitoa kwa nguvu zote kama Chacha Wangwe. Leo hii yuko wapi? Pengine miaka hiyo chacha wange anajulikana ulikuwa labda shule na ulikuwa ujui hata siasa. Unamjua Zito zuberi kabwe; unajua mchango wake hapo chadema? Unamkumbuka dr. Slaa.? Wotenleo hii wakinwapi. Kiufupi chadema ULIZIA KITU WAKUZIME KAMA TAA.
 
Chama chenye jina la democrasia lakini chenyewe ndio mabingwa wa kubinya democracy ndani ya chama na wanachama maamuzi ya nyumbani kwa mwenyekiti ndio maamuzi ya Mwisho

Kuhusu ukabila ndio threat na kifo cha Chadema kama ilivyo kuwa kwa CUF bora hata CUF walikuwa na scandal ya udini tu lakini watu wa Ufipa wana scandal ya kubinya democracy ndani ya chama ,Udini na ukabila
 
Oradha ya wachagga ndani ya CHADEMA
  1. Chacha Mwita Mwikwabe
  2. Edward Ngoyiai Lowassa
  3. Fredirck Twaluay Sumae
  4. Salum Mwalimu
  5. Lucy Magereli
  6. John Myinka
  7. Halima mdee
  8. Saed Kubenea











  9. Wakati mwingine kama tukiotoa hoja tuwe na uhakika na kile tunacho kisema. leo hii nikosa kufikiria kuwa kwa ajili mwenyekiti wa CCM ni Msukuma basi CCM ni ya wasukuma. Kwa ajili pengine tunao wakurugenzi, MDC au MaRC wachache wakisukuma basi nchi ni ya wasukuma. Tanzania niijuayo mimi haina ukabila wala udini ila kwa ajili ya watu wachache na wenye upeo mdogo wakufikri na kuona mbele basi utaendelea na mahubiri ya kikabila ambayo hakuna mwenye akili atakayepoteza muda wake akikusikiliza
    Mh. Chacha Wangwe alisema haya:
 
Hao wa staili uliyoandika wako CCM, labda na kwa bwana yule. Huku CDM watu ndio wapambanaji, wanajishughulisha kucha hakuchi. Pole kama wewe ulifikiri hivyo.
 
Poleni sana, watanzania walishachoka na hayo mapambio.
 
Na kuna watu hua kwa imani yao wanaona CHADEMA ni chama ambacho hakina ufisadi kumbe uzushi tu wanafiki balaa pesa za visima vya sabondo walizitafuna zote wala huwasikii wakizungumzia baba yule hana hamu nao,pumzika kwa amani Kamanda wa kweli chacha Wangwe.
 
Mwacheni Chacha Wangee apumzike uko alipo,tafuteni mtu mwingine kwenye propaganda zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…