Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

Dah! Kamanda Yericko Nyerere na wenzako, kuna kitu cha kujifunza hapa kutoka kwa Kamanda wenu Mkuu, Mh. Freeman Aikael Mbowe!!

Huyu Mheshimiwa nadhani mngempumzisha tu ili kukiokoa chama.
 
Reactions: G4N
1. Huyu ndiye Chacha Wangwe ambaye mpaka leo Freeman Mbowe anatuhumiwa kuwa alihusika na kifo chake kwa sababu aliutaka uenyekiti..?

2. Honestly, by then sikuwa namjua huyu ndugu (Chacha Wangwe). Lakini kwa andiko la waraka wake huu, inaonesha wazi kuwa alikuwa mtu mwelewa, mwenye ufahamu wa mambo, asiye mtu wa "ndiyo mzee" bali mtu wa kuhoji na kutaka ufafanuzi ktk kila jambo ndani ya chama. Namna alivyopangilia hoja zake hizi, zinathibitisha ukweli huu...

3. Waraka huu unaonesha kuwa, hoja zilizolalamikiwa miaka zaidi ya 17 iliyopita ndizo hizihizi bado zinaleta shida na kulalamikiwa ndani ya CHADEMA chini ya uongozi wa huyu bwana Mwenyekiti ndugu Freeman Mbowe: Mambo ya matumizi mabaya ya fedha, ukabila, ubabe, ubaguzi kwenye nafasi za ubunge wa viti maalumu nk nk

4. Sasa ninakubali kuwa, kumbe ni kweli, SI LAZIMA KUUZIMA UKWELI DHIDI YA UONGO. Unaweza kujilisha upepo kwa muda tu kwa kuaminisha watu kwa uongo, lakini mwisho wa siku jambo hilohilo tena huibuka likidai haki. Hoja za Chacha Wangwe hazina tofauti na kinachosemwa na Tundu Lissu na wafuasi wake. Roho ya Chacha Wangwe ndiyo hiyohiyo imeibukia kwa Tundu Lissu ikidai yaleyale yaliyosemwa na kudaiwa miaka 17 iliyopita. Na wakati huu ni wazi kuwa imekuja na nguvu mpya na kuu zaidi. Na safari hii, nadhani ni lazima kieleweke tu. Safari hii ni zamu ya waliokuwa wakishinda kwa hila miaka hiyo nao kuonja adha na uchungu wa kuumizwa na kuuwawa...

5. Ningekuwa mimi ndiye Freeman Mbowe ningesoma alama za nyakati na kuamua kupisha mwingine aongoze chama. Lakini kwa kuwa BUSARA na HEKIMA zimempiga chenga huyu jamaa, bila shaka nyakati na majira zitamkataa na zitampa fundisho fulani la fedheha huko mbeleni tuendako...
 
Mbowe akisimana madhabahuni Usharika wa KKT anasema Magufuli ni mkabila, duh siasa ni unafiki, mbowe ni bonge la Fisadi na mkabila mkubwa sana, lakini yote yata kwisha.
Pamoja na kwamba hatupendi Mbowe arudie kuongoza LAKINI kumsingizia mtu jambo la uongo ni dhambi kwa Mungu. Mbowe amewahi kutamka kanisani kwamba Magufuli ni mkabila? Kama tunaweza kua wakweli, baada ya kifo cha Magufuli is Mbowe aliyetoa hotuba na akaeleza mazuri ya Magufuli na madhaifu yake. Imeandikwa, "usimshuhudie jirani yako UONGO"
 
Huu waraka unaishi hadi leo,
bado sababu ya kumpumzisha Mbowe ipo na asidhani anaweza kuwapumbaza watu wote kwa muda muda wote.
Lazima chama kirudi kwa wanachama
 
Kuna muda unashangaa sana, watu wenye maono, ndoto, nia ya dhati ya kulipeleka taifa letu mbele wengi wanaishia kufa vifo vya utata. Hii nchi haipendi watu smart, sijui kwanini?!
Mbowe aliposikia Heche anataka kugombea uenyekiti kamfanyia aliyofanya heche sasa yupo hoi anaumwa sana
 
Upo sahihi 100%
 
Mbowe ni Dikteta ni mtu mroho wa madaraka ni mchoyo na ubinafsi mwingi, tabia ya Kula pesa za chama kaanza siku,, Rushwa ya ngono kaanza siku nyingi kwenye viti maalum
 
Reactions: G4N
Mtafungua hadi na Biblia kabisa ila ni kwamba hatuwezi kuwapa chama watu wa Clubhouse, hiki chama kijengwa kwa gharama kubwa sana za jasho na damu ya watanzania.

Hutaki nenda TLP, ila kwa sasa jadi 2030 Mwenyekiti ni Mh. Alkael Mbowe.
 
Ni vyema Mbowe angepumzika ila kumshinikiza kiwango hiki sio sahihi.

Ni vyema mchakato wa kidemokrasia ufuatwe
 
Reactions: G4N
Mtafungua hadi na Biblia kabisa ila ni kwamba hatuwezi kuwapa chama watu wa Clubhouse, hiki chama kijengwa kwa gharama kubwa sana za jasho na damu ya watanzania.

Hutaki nenda TLP, ila kwa sasa jadi 2030 Mwenyekiti ni Mh. Alkael Mbowe.
Hujajenga chama bali mmeiba pesa za chama kujengwa kimejengwa na wale ambao mliwafanyia unyama akina wangwe zito na sasa heche umemtilia sumu anataabika, hilo Duka lenu Saccos yenu na mbowe utainunua kwa gharama kubwa ni uchakachuaji pekee wizi wa kura pekee utawarejesha humo kwenye Saccos yako na mbowe, hakuna mwenye Akili Timamu atawapa kura
 
Pesa inayotumika sasa kununua uenyekiti ni pesa nyingi sana wale wabunge haramu 19 wakiongozwa na Mbowe wamesambaa wanagawa pesa kwa Wajumbe, hata ikitokea Mbowe kaiba kura kawa mshindi analo la kujifunza
 
Brother Mbowe hata akiiba kura lakini hatamaliza muhula wa uongozi wake kuna mengi siwezi kuyasema lakini waliposema huyo jamaa ni gaidi wengi hawakuelewa ila hata yeye anajua nini kitafuata na hata TAL anatumika kama kete kuna jamb zit0.nyumba inasafishwaa
 
Naongezea tu😏

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…