Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

Daah! kama taarifa za Heche kuugua ni kweli,inasikitisha sana na kuogopesha.
 
Kumeanza kuchangamka
 
Mbowe
Mtei
Makani hawa wote walitolewa BOT kuja kuanzisha Chadema kwa kazi maalumu. Kwa ufupi Mbowe ni kind of double agent. Ukimwangalia kwa haraka haraka unaweza kuhisi ni mpinzani wa serikali ila ni mpinzani wa wapinzani wa kweli

Ili chadema ibaki salama, inatakiwa waliotoka BOT wote kwa kazi maalumu wapigwe chini kikatiba au kinguvu.
 
Kuna muda unashangaa sana, watu wenye maono, ndoto, nia ya dhati ya kulipeleka taifa letu mbele wengi wanaishia kufa vifo vya utata. Hii nchi haipendi watu smart, sijui kwanini?!
Kwenye hili bara la Afrika (bara giza), mapoyoyo ndiyo Yana maisha marefu. Matu akiwa na akili anauliwa.

Kwa hoja hizi za kupekenyua pochi ya baba kikoba, ni dhahiri aliuawa.
 
Ndiyo maana mbowe alimuua chacha wangwe hasa kauli yake ya kuutaka uenyekiti. Ila mbowe ni gaidi aisee. Lisu amshukuru Mungu wake kwa kumpigania lasivyo mbowe alikuwa keshammaliza. Na hata sasa huwezi jua mbowe anaweza aisee kumuua. Inaonekana kuna ufisadi mwingi sana kwenye hiyo NGO. Ila huyu mchaga anaaibisha sana.
 
Chadema inaenda kuwa TLP NCCR na CUF ya Lipumba
 
Wanasema mwisho wa ubaya ni Aibu Mbowe alimteketeza wangwe leo ya wangwe yameonekana bado yapo tuhuma zote alizokuwa akituhumiwa na wangwe ni kweli laana ya wangwe zito heche inamtafuna Mbowe licha ya kutumia mapesa mengi kuununua uenyekiti tena
 
Hatari sana mkuu
Kosa la heche alionesha nia mapema ya kuwania uenyekiti ndipo Mbowe akamhujumu, tofauti na Lisu ambaye kamshitukiza ghafra kabla hajajipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…