Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA


Wewe acha kutetea ujinga!Unadhani CDM hii inaubavu wa kuitoa CCM!Watu wanataka kuondoa uozo chamani ili kupata chama imara wewe unapinga!Unaona bora mtu achote ruzuku ahonge mademu kuliko kuimarisha matawi sio?Nani amekuroga wewe?,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,pumzika kwa amani Wangwe,lakini watu lazima wafahamu kuwa jambo pekee ambalo mwanadamu anauhakika nalo asilimia mia ni KIFO!
 
Watu wanaomtetea M/Kiti na Katibu Mkuuwa CDM ni kama wamefungwa fikra zao au wameajiriwa kuwatetea. Ninashangaa ni kwa jinsi gani mtu anafunga fikra zake na kuhakikisha kutosikiliza wala kuelewa arguments za upande wa pili. Kwa hali hii hata M/Kiti na katibu wake wangekiri kuwa wanakihujumu chama bado watu hawa wangewabishia nao kuwa wanadanganya - Guys let us think outside the box.
 
Aisee.......!

Siku si nyingi wewe utaanza kuitwa msaliti pia!

Sikuwahi kuuona huu waraka kusema ukweli, lakini machache yaliyoandikwa ni yale yale ya kwenye ripoti ya Mwigamba

Mfano matumizi ya fedha za wadhamini kama Sabodo, ruzuku kutofika mikoani.

Chacha kazungumzia Mbowe kujilipa gharama za uchaguzi zaidi ya Tshs 200,000,000 mwaka 2005, kuna malalamiko ya kujilipa mil zaidi ya Mil 500 mwaka 2010, hope anatarajia zaidi ya Bil 1 mwaka 2015 kwa sababu trend imekuwa ni mara mbili ya uchaguzi uliopita.

Kazi tunayo! Inaniuma kuendelea kusubiri sana.
 
Naona SPIN DOCTOR Zitto Kabwe anataka kutafutia SYMPATHY kwa Marehemu Chacha Wangwe...

Hii kitu ilishajadiliwa long time, na wewe mwaga za kwako tuzijadili maana za usaliti wako tumezijadili sana na tumeamua kukuchinjia baharini. Hii biashara ya TUKOSE WOTE haitakufikisha popote, sana sana inakufanya Zitto uonekane adui namba moja wa chama. Damu ya Ally Zona iliyomwagika pale Msamvu Morogoro haitapotea bure eti kwa kuwa Zitto kachukua rushwa CCM ili aue CHADEMA. Siku 14 sio nyingi broda
 

Ni wachache wenye muono km wako!! Tatizo mashabiki wengi wa CDM wamefundishwa kutukana na kuona kila anayekosoa chama chao,ni mwendawazim!! Busara ya kujitafakari juu ya hali ya chama ilivyo,haipo kwa wanachadema wengi!! Wengi wametanguliza ushabiki tu. Hawataki kukubali kuwa hy M4C inatakiwa ianzie kwanza ndani ya chama,ndo baadae ihamie nje ya chama kwenda kupambana na ccm.
 
Huyu Wangwe alikuwa na maono sana. na ukisoma hii habari vizuri utamjua aliyemuua ni nani!
 
Huyu Wangwe alikuwa na maono sana. na ukisoma hii habari vizuri utamjua aliyemuua ni nani!

True dah! unajua wabongo wengi hatupendi kusoma habari ndefu ndio maana hatuendelei
 
waraka kama huu nao utakuja na kupita.
 

Na Dr Slaa aelewe maji yake yanachemka awe na akili anatumiwa unless otherwise na yeye anapata kitu kidogo
 

Acheni Kumsengenya Marehemu. Alishaukana huu waraka miaka mingi!.
Someni hapa chini:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:

[h=2]"Hakuna ukabila wala ubadhirifu CHADEMA"-Chacha Wangwe[/h]
Leo nawakumbusha maneno ya Chacha Wangwe mara baada ya kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Alifanya mkutano na waandishi wa habari pale makao makuu ya CHADEMA ambapo pamoja na mambo mengine alisema- hakuna ukabila CHADEMA, wala hakuna matumizi mabaya ya ruzuku. Alisema pia anakubaliana na maamuzi ya kutumia helikopta. Alisema yanayosemwa kuwa amesema ni uchonganishi wa magazeti. Wakati huo tamko lake liliandikwa na magazeti ya Mtanzania, Habari leo na mengineyo. Kuna mtu anaweza kutuletea vile vipande vyake?

Sehemu ya maneno yake ilinukuliwa na Tanzania Affairs hapa:

Meanwhile CHADEMA itself was not without its problems. According to the Swahili press the leadership had to deny that there were differences within the party. Tarime MP and deputy chairperson Chacha Wangwe, told the press that there was no row within the party, and he had never accused the leadership of misuse of funds or of ethnic bias. Party Leader Freeman Mbowe said “We are as united as ever, but the pro-CCM media has been trying to smear us.” Wangwe was elected party deputy chairperson by 56 votes to 38 after a heated debate. He will hold the office for one year, and, according to the media, might then try to replace Mbowe. Some CHADEMA members were reported to consider Wangwe an ‘unguided missile’ and others baptised him ‘the Jacob Zuma of CHADEMA’ – Mtanzania

Chanzo: Tanzanian Affairs » CORRUPTION – OPPOSITION ON THE ATTACK
 
RIP CHACHA WANGWE...YOUR DEATH WONT BE IN VAIN!!!Good will always win over evil.,..truth will soon come and EVERY PATRIOTIC TANZANIAN WILL SEE THE REAL FACE OF MBOWE AND HIS CROOKED GROUP OF CRIMINALS!!!May you find ETERNAL PEACE RASTA!!
 
chadema mna akili za kukodi kweli. kwann usijikite kwenye mada unajaribu kupindisha mjadala?? chacha wangwe alisema wazi chadema kuna wizi wa ruzuku, soma huu waraka kwa utulivu
Bora akili hiyo ya kukodi ya CDM kuna wakati ipo na wakati haipo,CCM ambao hamna akili kabisa na wala hamkodishiki ni hatareee!!!!!
 
Huyu Wangwe alikuwa na maono sana. na ukisoma hii habari vizuri utamjua aliyemuua ni nani!

Ningependa ujiulize hawa waliomuua wapo juu ya sheria kama unavyojiamisha? na kama ni CDM waliomuua mbona CCM hoja hiyo walishindwa kuitumia kushinda ule uchaguzi mdogo wa Tarime? Inatakiwa utambue hoja kubwa iliyosababisha kifo chake ni hoja binafsi Bungeni juu ya yeye kumuona Daudi Balali akiwa hai huku serikali ikitamka kuwa kafa kwani alikuwa na ushahidi juu ya hili ndipo wahusika walipoamua kutoa uhai wake na hakuna jingine zaidi ya hilo.
 
Dj MBOOwe akigombea tena Uenyekiti kwa mara ya 3 jumla atakaa miaka15 kwenye uongozi nahama rasmi CHADEMA maana atakuwa ni mlafi wa Madaraka na kiongozi kama huyu hafai kupewa Dola ataibadilisha na katiba yenyewe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…