Waraka wa mwisho kwa Binti kiziwi

The only reputation you have youngboy ni kuaga and sitaki tena JF kila baada ya masaa 24..

Haupo kwenye level ya mtu yeyote since levels za uwendawazimu umezipita as I said before wewe ni self opinionated fool so upo level ya peke yako..

Kama unampenda its a good thing that what Jesus left for us and yeah she deserves a better person not mgonjwa wa akili,pona kwanza nitakuombea akupe hata kwapa ulambe
 
Kalilie chooni nikishaweka wazi na anajua potential yangu kama una nongwa Kalilie huko huko..

She deserves me not you, na wengine mnaopenda kuongea shit na msiwe na hoja yoyote
 
Mbwa ananifata hadi msikitini nikimuendekeza atataka nimtie vidole vya matak. na mimi sio michezo yangu.
Mbona kina kutoka kama Juha, ulitaka nikutongoze wewe kikaragosi? 😂

Acha warembo waandikiwe waraka, huna jipya na hauna thamani yoyote humu
 
Wala sishangai haya yanayotokea
Maana hata mimi nikiwa mdogo nilikuwa nampenda sana Hema Malini halafu nikamhama nikampenda Rekha 😂😂
Ujana raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…