Ndugu ni naweka rasmi nia yangu kwenu wazee mnipee binti yenu,Mkuu, kwani utaratibu huujui wa kuposa?
Mimi na Wazee wenzangu tuna miezi 8 sasa hatujapata kazi ya kupeleka posa mahali
Tafadhali tutume tukaione familia ya binti kiziwi
We piga makombora kote atakaekubali unaapa nae.Siwezi fika hatua ya kutongoza watu aina yake
Smart Gin labda.jinsi nilivyo smart one
Binti kiziwi kumbe ni pisi ππ
Son ngoja nikupe kazi ya kuwa GALLERY humu JF. π
Andaa pesa kiasi cha 500,000 Wazee twende tukapige hodi SingidaNdugu ni naweka rasmi nia yangu kwenu wazee mnipee binti yenu,
Tumetokea kuivana na ni muda wa kuweka nia yangu kwenu ili mniruhusu kuweza kumshauri binti yenu anikubalie niweze kuleta posa na mahali kwenu.
Nakuagiza wewe kiongozi wao uende ukai one familia na uwaeleze nia yangu thabiti kwake mwanamke smart huyu
Pambania kombe mzee, mie nitakuwa chawa wako na mpambeee ππUmejua kabisa kumechisha mkuu, I guess she's like that tooβ£οΈ
Msiwe na hofu ya aina yoyote wazee wanguAndaa pesa kiasi cha 500,000 Wazee twende tukapige hodi Singida
Kama wataridhia posa yetu, huyo mrembo utamwoa tu
Labda awe ameshawahiwa
binti kiziwi sio pis tu, bali ni pisi ya kwenda kama SHA512 haina reverse hiyo π πBinti kiziwi kumbe ni pisi ππ
π πSon ngoja nikupe kazi ya kuwa GALLERY humu JF. π
Hivi kumbe ni wa Singida ππππ. Bila shaka atakuwa cheupeππAndaa pesa kiasi cha 500,000 Wazee twende tukapige hodi Singida
Kama wataridhia posa yetu, huyo mrembo utamwoa tu
Labda awe ameshawahiwa
AlaaaππPambania kombe mzee, mie nitakuwa chawa wako na mpambeee ππView attachment 3671927View attachment 3671928
π₯π₯π₯ kenyewe kana haiba ya upolee hadi utamu kisogoniAlaaaππ
Kwa hiyo mwanangu hapa binti kiziwi akikubali mnapeana number PM mnaenda watsup mnapanga kuonana mtaongea, mtaanza kukulana mnaoana mnazaaa......dadeq nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe!.Acha mizaha katika hili mkuu ππ