๐ ๐ Umpitiwa na wakati, singida nilitoa 4 million kupewa mwili ..Andaa pesa kiasi cha 500,000 Wazee twende tukapige hodi Singida
Kama wataridhia posa yetu, huyo mrembo utamwoa tu
Labda awe ameshawahiwa
Umetokea Kanda ya Ziwa nini, huko ugonjwa wetu ni mabinti weupe tu ๐Hivi kumbe ni wa Singida ๐๐๐๐. Bila shaka atakuwa cheupe๐๐
Wee๐๐๐๐Umetokea Kanda ya Ziwa nini, huko ugonjwa wetu ni mabinti weupe tu ๐
Kuna siku nilimsoma humu kwamba anatokea Singida
Basi mzee wangu kama nilivyo kuahidi naomba ukatilie mkazo hilo swala ili niweze kufanikiwa katika kumpata mrembo wangu binti kiziwiUmetokea Kanda ya Ziwa nini, huko ugonjwa wetu ni mabinti weupe tu ๐
Kuna siku nilimsoma humu kwamba anatokea Singida
Basi mzee wangu kama nilivyo kuahidi naomba ukatilie mkazo hilo swala ili niweze kufanikiwa katika kumpata mrembo wangu bintiUmetokea Kanda ya Ziwa nini, huko ugonjwa wetu ni mabinti weupe tu ๐
Kuna siku nilimsoma humu kwamba anatokea Singida
Wanasema kumpata umpendae ni majaaliwa nami sina shaka katika mpango ya Mungude Gunner pambana mwanangu.. hata michango tutakuchangia mzee baba tupate shemeji wa kwendaaa ๐ฅ๐ฅView attachment 3671933
Hakika, mie najitolea ubani mkuu wangu, ukae kwenye hilo jimboBasi mzee wangu kama nilivyo kuahidi naomba ukatilie mkazo hilo swala ili niweze kufanikiwa katika kumpata mrembo wangu binti
Wanasema kumpata umpendae ni majaaliwa nami sina shaka katika mpango ya Mungu
yeah, a secret to success๐Am just good at being honest
Sina msaada kwakweli๐Alafu naomba msaada wako katika hili dada yangu kipenzi.
Sitaki .kaa hapa upambanie soft copy zakoNakuja pm