Waraka wa mwisho kwa Binti kiziwi

Nime mdharirisha nani?

Mbona umeanza kunipa kazi kitu sijafanya?

PM haiko wazi na nilisha mweka wazi kuwa ninampenda na nitamwanzishia uzi..

Na unayosema mdharirisha wanawake unakosea my lovely sister

Mapenzi hayaingiliwi so niseme tu kila la heri.
 
"Ma Mony" hiyo mitaa ipo Dom na Moro ila kwa Moro ina wababe kwelikweli..

Ntakukaribisha Kwa Chambo ngoja kiota kizibwe Elnino na la Utosi tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…