babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Sawa mkuu, lakini kama Pasco unayemzumgumzia hapa ndiye huyu Pascal Mayalla, basi alikuwa hapa kitambo, mimi namzumgumzia huyu aliyejiunga hapa Sun, Aug 2009!Bila shaka wewe ndiye mgeni hapa jamvini maana inaonesha umejiunga jan - feb 2009 na Pasco amekuwa hapa kitambo.
.....mpiganaji Pascal 'mzee wa kipindi cha kitimoto' enzi hizo wakati waandishi bado wakiogopa kuikosoa serikali.Kwa kweli kina Pascal ndo pioneers wa talk show nchi hii hata kama ilikuwa inakuwa recorded.Kaka nakuombea uwe buheri wa afya,inshallah.
Kumbe ukitulia ni bonge la mlokole flani.
Hope he understands. Mungu anakupenda sana hivyo sifa na utukufu na hata hiyo kumbukumbu pia ni ya kukumbuka jinsi Mungu alivyoonyesha Ukuu wake katika maisha yako.Kwenye maandishi ya rangi nyekundu😛ascal umeni sikitisha sana kwa kitendo chako cha kurudi eneo la tukio,umeenda kufanya nini hapo? ujui kuwa unatengeneza Agano na imani ya vitu usivyo vijua? wewe ni mkristo nadhani RC! ulipaswa jana uende kanisani utoe sadaka ya kumshukuru Mungu kukuepusha na kifo na kukupa uponyaji wake.Unajua watu ni kwamba tuna fanya vitu ambavyo atuvijui na kumtumikia shetani tukidhani tuna mtumikia Mungu.