Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!

Pole sana Paschal, na ni jambo jema kumshukuru Mungu kwa uhai aliokuachia. Ni vema kama hujatoa shukrani basi ukatoe kanisani na familia yako. Na umwombe Mungu aendelee kuupatia mkono wako nguvu uweze kurejea full katika shughuli zako za kushika kamera.
 
Bila shaka hadi sasa ushajenga utamaduni wa kutembelea wagonjwa kama jinsi ulivyojifunza kupitia ajali yako iliyokufikisha hadi Appolo
 
Hili andiko lina mengi sana ya kutufundisha katika maisha yetu ya hapa duniani.
 
Pole sana brother Pascal Mayalla
By then unapata ajali wengine tulikua juniours hatukuwahi kujua wala kusikia lolote till now.
Tunamshukuru Mungu kuendelea kukupa uhai mpaka sasa maana kuna mengi tungeyakosa kutoka kwako. 🙏
 
Mayalla unanitisha kidg kuhusu vizazi vi nne nyuma ina maana kwa nini zambi zangu ziishie kwangu ziende kuwatesa wengine??

Any way ya Mungu mengi ni kushukuru kwa kila jambo pole sana Mungu ni mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…