Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

Zamani sana kulikuwa na rafiki yangu alikuwa anakwenda Bukoba kikazi. Alikata ticket ya basi kutoka Mwanza siku mbili kabla ya safari, na kupata kiti. Siku ya safari jamaa akawahi akapandisha mizigo yake na kukaa kwenye kiti chake akisubiri safari ianze. Muda mfupi kabla ya safari kuanza, akaja mzee mmoja wa kihaya naye anataka kusafiri wakti huo huyo; ikabidi kondakta amfuate jamaa yule na kumurudishia hela yake ya nauli huku akimshurutisha atelemke, na mizigo yake pia ikatelemshwa. Jamaa akakosa safari aliyokuwa ameipanga kwa siku mbili, ila tatizo lake aliingia basi la wahaya wakati yeye siyo mhaya.
 
Huyo mzee atakuwa ile jamii ya abalangira,hata kanisani kama we mgeni ukakaa siti yake akija utatoka tu,hivi vitu vinachekesha sana
 
Huyo mzee atakuwa ile jamii ya abalangira,hata kanisani kama we mgeni ukakaa siti yake akija utatoka tu,hivi vitu vinachekesha sana
Jamii ya kihaya Ina classes tu Toka zamani ingawa sijui hizi imeisha hiyo....

Kuna
walangira
Wachwezi
Watware nk
Hiz ni classes zilizokuwa zinapata treatment tofauti katika jamii....




Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuuu badala ya kutudhiaki tushaulini kipi cha kufanya ili tujikwamue,Namkubali sana sisi ni mabishoo ila tuoneeni huruma tu
Nakwambia mtalia weeee!! mpaka mkome mwaka huuu!! nyerere aliwasaidia mkawa mnasema kale kazanaki kana kiherehere sasa ngoma ndo hiyo usomi wooote huo kumbe bure kabisa!!... hayupo sasa mtalia sana!!

si mko ulaya nyie nusu ya wahaya changeni basi dola 1oo tu kila mmoja ni hela ngapi hizo!! Tibaijuka panda ndege kaongee na wahaya wenzako huko ughaibuni mchangishane!! kwani daispora hawana umoja?? lichama lao linaitwaje kwani!!

mie ndo maana nawaonaga hamna akili!! mnapigika mpaka mnakuja kulialia humu Na nywele zenu mwili mzima?? aibuuuu? mwee!!..... wanaume sisi tunakomaa tu kimya mpaka kieleweke!!....

tena km mbunge wetu akilia km hivi ndo kabisaaa!! hela zinamiminika hivi kutoka Diaspora!! majidai yote kwishne!! sirikali yenyewe inakusanya kodi zetu sie watu, ili kufikia malengo tuliyo ituma na nyie toeni kodi ya sisrikali!


km hamtaki si mkafanye vibarua hapo karibu tu Burundi!! mje mlipe!! sasa kodi yangu iende huko kwa watu wazembe thubutu!!! hakuna kuwapa hela itarudije??? mnashindwa na Mtwara??

Mnashindwaje kujifunza kwa mikoa tulio fanikiwa?? hawa kwa kiburi na kejeli zao zimewaponza hawawezi kupokea msaada wa mtu eti wanataka sirikali mweee!! mtadoda mpaka mnuke vikwapa!!

halafu mara zote hamueleweki mnakau-tapeli kasiko ishaga hivi ni kweli mmepigika nyie??? tunawangalia kwa jicho la tatu sisi, make tangu zama hamaminiki basi uzeni ndizi muishi? senene hazuziki kwani!! au naniliu
 
Wewe mzee mbona hasira hivyo, ukiendelea kuwawaza wahaya utakufa mapema.
 
Tatizo lenu akina nshomire hamtakikurudi kwenu mkishaenda nje ya mkoa ,Ninyi mnawasimi wengi kuliko kabila lolote Tanzania, tatizo hamtaki kuwekeza kwenu tofauti na wachagga ambao mnapambana nao, wao wanapenda nyumbani, Mim nimesomea pale IHUNGO, padre mmoja alikuwa anatuambia, wahaya wakiamua kujenga kwao inakuwa Kama Mwanza, tatizo Idd Amin alishawatia hofu, Sasa HIV Idd Amin jamn hayupo Rudisheni Fadhila kwenu
K
 
Huyo mzee atakuwa ile jamii ya abalangira,hata kanisani kama we mgeni ukakaa siti yake akija utatoka tu,hivi vitu vinachekesha sana
Inawezekana kwani basi lile lilikuwa linatwa "Ihangiro Bus Services".
 
Mkuu naona wewe unachanganya mambo , Prof namfaham kabla ya kuwa mbunge na baada ya kuwa mbunge

Ukisema shule hakujenga kwao niambie shule ya Kajumulo Alexander Girls School iko wapi na imejengwa na Nini

Shule ya wasichana na anatoa elimu kwa kuwafadhili wasichana

Pamoja na kujitolea huko alijitahidi kujenga mashule kwa kuongozwa utaifa ndo maana amejenga Pwani ambayo ndo pekee unayojua naona.

Ukiacha Hilo, katika ubunge wake ameshawishi bohari ya dawa,, MSD ,imejengwa Muleba na ni bohari tegemewa ya Kanda

Na mengine mengi, jitahidi kufuatilia kabla ya kuja kwenye huu ukurasa kushutumu watu

 
uyu si ndio aliyebeba kwenye lumbesa ule mgao wa lugemarira akadai amechukua tu cent twa mboga mboga?
 
Tukisema Kagera na mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa ujumla ni maskini wa kutupwa mnasema tuna chuki .

Sasa kaongea wa huko huko,tabia ya kujifariji kwa vijumba vya walio Nje ya Mkoa huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…