Waraka wa Waislam Kuelekea Uchaguzi

Duh! kazi kwelikweli..lazima ukubali kutofautiana na kuishi katika kutofautiana so siungi mkono hoja yako...kama wewe ni mfadhili wa JF go ahead ifunge...lakini hoja yako inaiingilia uhuru wa kutoa mawazo..tena ni vizuri kusikiliza mawazo ya usiowapenda au wamesema kweli nini naona uko very concern
 

Uhuru wa mawazo ni jambo jema lakini kitu chenye mwelekeo wa kugawa watu ndugu, wengine wameoana hauna maana yoyote, ni ujinga. Mods naomba mfunge hii thread za zingine za namna hii.
 

ukiona vipi anzisha mujahidini dot mahakama ya kadhi dot komu na utapata maboko haramu kibao huko.
 
Hakuna la uwongo linalogeuka kuwa la kweli kwa vile tu limesemwa sana. Litageuka tu endapo ukweli utafahamika. That means ukweli ulikuwepo lakini ulikuwa haujulikani
 
..... mikoa ilikuwa na maendeleo zaidi ilikuwa ni Dar ( kwa maana ya Dar na Pwani) , Moro, Tanga, Tabora,,ikifuatiwa na Bukoba na kilimanjaro.

Sasa vipi mikoa hiyo ididimie kiuchumi mara baada ya uhuru?
......


Ndugu Hafif,
Nakukumbusha kidogo tu elimu ya Jografia, BUKOBA (Mjini na Vijijini) ni wilaya zilizo katika mkoa wa KAGERA.
Wilaya nyingine za mkoa wa Kagera ni:-
- Biharamulo
- Chato
- Muleba
- Karagwe
- Ngara na
- Misenyi .

Naamini tupo pamoja!

Idimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…