Waraka Wa Wanachama wa YANGA kwa Tff

Zamu yenu kuliwa sasa, msijitingishe! Kipindi cha Malinzi na mbeleko yake mliringa sana! Tulieni dawa iingie vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Yanga sio TFF..hata raisi angekuwa Manara....Yanga njaa haiwezi kujaza nafasi tano za wachezaji wa kigeni...wangeleta balance kwenye timu...wakati was Manji Yang
Mbumbumbu FC..Mzee Rage shikamoo...Ratiba ilivyotoka Yanga alipangiwa kanda ya ziwa..mechi zikafutwa kwa ajili ya Timu ya Taifa....mechi kumi mfululizo kwa Mkapa nyingine alikuwa sio mwenyeji kama ya Simba nk...
 
Tuishangilie Uganda Siku ya mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachowatoa povu ni nini nyie Chura?
 
Mkuu jambo kama hili ni zito sana ungeweka na ushahid ingekuwa poa sana kama hapo unaposema kutoa maelekezo kwa kwa marefa je unao ushahid Wa hizi tuhuma kama unao lete pale ofisini au weka mitandaoni la sivyo zitakuwa pumba kama pumba zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika huu waraka ni wakandambili, hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tui
Yanga inaongoza kwa point 20+ sasa shida yao nini. Waraka wa kisenge huu
 
Hivi wakati mnaongoza kwa mapoint mengi ambayo hata Simba akishinda mechi zote bado atakuwa pungufu kwa point 5 hamkuyaona haya yote mnalalama baada ya kuona hali tete viporo vinaliwa kama Chakula fresh vile.Poleni Sana ndugu zetu

#KilaMtuAshindeMechiZake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka mitatu mfululizo umeshindwa kuingia makundi,sisi tumerudi na kuingia makundi 16 bora
 
Miaka mitatu mfululizo umeshindwa kuingia makundi,sisi tumerudi na kuingia makundi 16 bora

Hawa vyura natamani hata lile kumbe la FA wasichukue hawapo serias kabisa na kuwakilisha taifa, Azam nafuu kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…