Waraka wa wanafunzi wa elimu juu kwa serikali kuhusu migomo na maandamanoya mara kwa mara vy

Waraka wa wanafunzi wa elimu juu kwa serikali kuhusu migomo na maandamanoya mara kwa mara vy

MASTAWILY

Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
5
Reaction score
1
tafuta post nyingine yenye picha na kichwa Waraka wa wanafunzi wa elimu juu kwa serikali kuhusu migomo na maandamanoya mara kwa mara...
Taarifa hizi zisizokuwa na ukweli zimekuwa zikitolewa na baadhi ya watawala wa vyuo ili kukwepa kutekereza madai yetu ya msingi kwa kisingizio hiki kisicho na ukweli ndani yake hata chembe kama ilivyonekana katika gazeti la mtanzania ISSN 0856 - 5678 toleo namba na 5842 Jumapili Januari 15 2012 makala ya 13 yenye kichwa cha habari kilichoandikwa kwa herufi kubwa na kusomeka hivi VURUGU UDSM.

 
Back
Top Bottom