Kaka uzi wangu unajieleza wenyewe, ninazungumzia jamii ya Tanzania na sio huko ulipo kaka

Najua uzi unajieleza kwa mazingira yetu ila ilikuwa ni maoni yangu tu mkuu maana ndivyo tulivyozoea huku though kuna wachache hata kwetu wana majina ya kikristo alafu waislamu na wengine ya kiislamu lakini ni wakristo.

Hujauelewa uzi wangu , u doesnt make any sense to memwanzisha mada ndo unatufundisha ubaguzi.
ukitaka kubaguliwa kila kitu utachukia..ukiwa mfupi utachukia warefu.
-ukiwa mweupe utachukia weusi.
-ukiwa mwembamba utachukia wanene.
-Ukiwa maskini utachukia matajiri.
Inategemea wewe unataka nini..huwezi kuzuia watu kupenda wanachotaka.
Sioni mantiki ya kuleta mabishano kwa sababu ya mambo ya binafsi,
-Huenda ukitaka unaweza kuacha kusikiliza mkuu wangu, mbona nyimbo ziko nyingi?
:shock:
Mbona ni kawaida bro??,wewe ndo unataka iwe hivyo unavyodhani wew ulitaka jina gani litumike??,paulo au john??,hoja yako haina mantiki,Yahaya ni jina tu,na hiyo tabia ya yahaya aliyoizungumzia mbona kawaida tu[/QUOThuyu ndugu anataka kutuaminisha kwamba watu wenye majina ya kiislam hawatendi dhambi.
How? Convince me please , am a critical thinker and will always change my view when faced with better argument
Asante sana kaka, wewe ndio umenielewa na nilitarajia kukutana na mawazo kama yako.