WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

mtoa mada umeanza kuleta udini na unapandikiza chuki ambazo hata hazikuwepo kwenye mawazo ya watu.
 
Kama huna kazi nenda kaogelee! Maana unataka kupata umaarufu kupitia thread za udini. Bure kabisa!
 


islam is a complete way of life,who cares about names fika hapo misri uone majina unayoona ww kuwa ni ya kiislam lakini wakritu,tabia ya mtu ni yake wala haiwezi kusabihisha na dini yake,washenzi wapo kibao kila mmoja na dini yake.kama ingekuwakagusa kwenya nguzo zetu za kiimani za kiislam ningekuwa nyuma yako otherwise ur extremist.
 

mjadala ulishafungwa
 
Kama huna kazi nenda kaogelee! Maana unataka kupata umaarufu kupitia thread za udini. Bure kabisa!

Na wewe unajua maana ya kuogelea? Kuogelea ni kula ganja
 
sana Udin unaanza kuimalza tanzania, iv nikitaka kutunga wimbo wang mpaka nianze kujiulza nitumie jina gan jaman???? Suala kubwa hapa ni msaniii anataka kuwasilisha ujumbe gan kwa jamiii bila kujal dini, kabila wala rangi.
 
hauna akili ulieandika huu waraka, wewe ndio umeanza uchochezi,ushindwe na ulegee umuache JIDE wetu jamani...HIVI KWA NINI MNAKUWA HIVI????
 
Wewe una elements za udini ingawawaje unajifanya sio mdini Mkuu,mitaani watu wengi wa dini ya kiislamu kwa utafiti wangu wa haraka haraka hawajaipokea kwa mtazamo wako, nafikiri kuna kitu unataka kulazimisha hapa,endelea tu na fikra zako za uchochezi,huu si wakati wa kuanzisha mawazo ya aina hiyo Mkuu
 
acha upuuzi wewe. yahaya ndo nini. jina tu hilo
 

Unafiki utakuua mkuu, umeshangazwa na ya Yahaya na povu juu. Je aliyeimba hiv utamzungumziaje...?
MTOTO IDD Kazua balaa, mtoto Idd kazua mikosi, yupo kama kapandwa na kichaa, anayehitaji kurekebishwa...!
 
Duh kazi kweli kweli.., yaani huyu jamaa (LiKud) amemezwa mzima mzima na mfumo dini. Sipati picha kila anapousikia wimbo Yahaya jazba zinampanda Kama si kukwazika na jina lililotumika ktk wimbo!! Nadhani hata JD alipokuwa anatunga na hatimaye kuimba huo wimbo (YAHAYA) hakuwa na mtazamo hasi kama wa LIKUD!! Likud unahitaji kukua kimtazamo na kimawazo.., si kila jambo linahusiana na dini yako tukufu (uislam)!!
 

Udini upi huo ulioushikia bango?! Kama vipi na wewe tunga wimbo wako.., uupatie jin la kikristo mf. Judith na umwage radhi upendavyo uone kama kuna mwendawazimu atakaye-comment kwa nini wimbo umepewa jina Judith hata kama maudhui yangekuwa mazuri/mabaya!!!
 

Yani wew ndiyo mdini kabisa.
 
Hapana kaka mimi sio mbaguzi na wala siwezi kuwa mbaguzi. Am an enligghtened person. Ubaguzi is for low lives
Hapo kwenye red yo what?!!. You piece of Sh**t as a matter of fact, Stay away from Jide sio levo yenu
 
Tupa jiwe gizani litakaempata ndiye huyo nadhani mshaanza kumjua Yahya heheeee Jide hatariiiii wewe
 
Kuna wimbo wa Athuman- juwata

Aisha mwanaseifu - msondo hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…