WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

mtoa mada umeanza kuleta udini na unapandikiza chuki ambazo hata hazikuwepo kwenye mawazo ya watu.
 
Kama huna kazi nenda kaogelee! Maana unataka kupata umaarufu kupitia thread za udini. Bure kabisa!
 
mimi ni miongoni mwa mamilioni ya watanzania ambao wana ji identify themselves kama mashabiki wako wakubwa. But kina kitu kimoja ambacho kwa maoni yangu ninaona hakipo sawa . Nacho ni kuhusu wmbo wako uitwao yahaya. Wimbo wako ni mzuri na unaelimisha jamii but kwa nini usingetumia jina tofauti na yahaya. Kwanini ninasema hivyo?

1. Yahaya ni jina la kiislamu, na miongoni mwa majina ya kiislamu yenye maana kubwa kwa waislam.
2. Wewe ni mkristo wa madhehebu ya wasabato.
3. Hapa kwetu nchini tanzania kuna vugu vugu la waislamu na wakristo. Waislamu wamekuwa makini sana kwa kila kitu kinacho fanywa na mtu yoyote yule mwenye jina la kikristo hususani pale maslahi ya dini ya kiislamu ama jina la kiislamu linapotajwa. Sihitaji kulizungumzia hili kwa kina kwa sababu naamini huwa unafuatilia taarifa mbalimbali za habari so am sure as hell unafahamu ni kitu gani kinaendelea kati ya wakristo na waislamu tanzania wakati huu.

( kitu cha msingi kuelewa hapa ni kwamba, kitu chochote kile kitakacho tajwa na mkristo dhidi ya uislamu ama muislamu kwa namna yoyote ile kinaweza kuchukuliwa kama kashfa dhidi ya uislamu )

hivyo basi wimbo wako wa yahaya ingawa una ujumbe mzuri, but unaweza kukuletea matatizo na waislamu wa tanzania ambao wanaweza kuuchukulia kama kashfa dhidi yao. Maadui zako wanaweza kuitumia hiyo kama loop hole na ku dress beef lenu kulifanya lionekane kama beef kati yako waislamu.

Mapendekezo: Nikiwa kama shabiki wako, ninakushauri ubadilishe haraka iwezekanavyo jina la wimbo yahaya na kutafuta jina lingine lolote lile. Katika kutafuta jina nakushauri utafute jina ambalo halihusiani na jina la dini yoyote kati ya ukristo na uislamu. Unaweza kutumia majina yanayo tumiwa na watu wa dini zote kama vile mawazo.
Ukibadilisha jina la wimbo wako, utajijengea heshima kubwa sana kwa mashabiki wako ambao ni waislamu na watachukulia hiyo kama heshima kwao.
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo. Natumaini umenielewa.

Nakutakia maandalizi mema ya maadhimisho ya miaka 13 ya ladyjaydee.

islam is a complete way of life,who cares about names fika hapo misri uone majina unayoona ww kuwa ni ya kiislam lakini wakritu,tabia ya mtu ni yake wala haiwezi kusabihisha na dini yake,washenzi wapo kibao kila mmoja na dini yake.kama ingekuwakagusa kwenya nguzo zetu za kiimani za kiislam ningekuwa nyuma yako otherwise ur extremist.
 
mjadala ulishafungwa
 
Kama huna kazi nenda kaogelee! Maana unataka kupata umaarufu kupitia thread za udini. Bure kabisa!

Na wewe unajua maana ya kuogelea? Kuogelea ni kula ganja
 
sana Udin unaanza kuimalza tanzania, iv nikitaka kutunga wimbo wang mpaka nianze kujiulza nitumie jina gan jaman???? Suala kubwa hapa ni msaniii anataka kuwasilisha ujumbe gan kwa jamiii bila kujal dini, kabila wala rangi.
 
hauna akili ulieandika huu waraka, wewe ndio umeanza uchochezi,ushindwe na ulegee umuache JIDE wetu jamani...HIVI KWA NINI MNAKUWA HIVI????
 
Kama umeusoma uzi wangu vizuri utakuwa umegundua kwamba mimi sio mdini na wala sijaleta udini hapa, isipokuwa nimeleta hoja ambayo ndani yake kuna suala la udini, hilo haliwezi kunifanya mimi mdini, unless otherwise you are telling me that haujaelewa content ya uzi wangu
Wewe una elements za udini ingawawaje unajifanya sio mdini Mkuu,mitaani watu wengi wa dini ya kiislamu kwa utafiti wangu wa haraka haraka hawajaipokea kwa mtazamo wako, nafikiri kuna kitu unataka kulazimisha hapa,endelea tu na fikra zako za uchochezi,huu si wakati wa kuanzisha mawazo ya aina hiyo Mkuu
 
Mimi ni miongoni mwa mamilioni ya watanzania ambao wana ji identify themselves kama mashabiki wako wakubwa. But kina kitu kimoja ambacho kwa maoni yangu ninaona hakipo sawa . Nacho ni kuhusu wmbo wako uitwao YAHAYA. Wimbo wako ni mzuri na unaelimisha jamii but kwa nini usingetumia jina tofauti na YAHAYA. Kwanini ninasema hivyo?

1. YAHAYA ni jina la kiislamu, na miongoni mwa majina ya kiislamu yenye maana kubwa kwa waislam.
2. Wewe ni mkristo wa madhehebu ya wasabato.
3. Hapa kwetu nchini Tanzania kuna vugu vugu la waislamu na wakristo. Waislamu wamekuwa makini sana kwa kila kitu kinacho fanywa na mtu yoyote yule mwenye jina la kikristo hususani pale maslahi ya dini ya kiislamu ama jina la kiislamu linapotajwa. Sihitaji kulizungumzia hili kwa kina kwa sababu naamini huwa unafuatilia taarifa mbalimbali za habari so am sure as hell unafahamu ni kitu gani kinaendelea kati ya wakristo na waislamu Tanzania wakati huu.

( KITU CHA MSINGI KUELEWA HAPA NI KWAMBA, KITU CHOCHOTE KILE KITAKACHO TAJWA NA MKRISTO DHIDI YA UISLAMU AMA MUISLAMU KWA NAMNA YOYOTE ILE KINAWEZA KUCHUKULIWA KAMA KASHFA DHIDI YA UISLAMU )

Hivyo basi wimbo wako wa YAHAYA ingawa una ujumbe mzuri, but unaweza kukuletea matatizo na waislamu wa Tanzania ambao wanaweza kuuchukulia kama kashfa dhidi yao. Maadui zako wanaweza kuitumia hiyo kama loop hole na ku dress beef lenu kulifanya lionekane kama beef kati yako waislamu.

MAPENDEKEZO: Nikiwa kama shabiki wako, ninakushauri ubadilishe haraka iwezekanavyo jina la wimbo YAHAYA na kutafuta jina lingine lolote lile. Katika kutafuta jina nakushauri utafute jina ambalo halihusiani na jina la dini yoyote kati ya ukristo na uislamu. Unaweza kutumia majina yanayo tumiwa na watu wa dini zote kama vile MAWAZO.
Ukibadilisha jina la wimbo wako, utajijengea heshima kubwa sana kwa mashabiki wako ambao ni waislamu na watachukulia hiyo kama heshima kwao.
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo. Natumaini umenielewa.

NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 13 YA LADYJAYDEE.

Unafiki utakuua mkuu, umeshangazwa na ya Yahaya na povu juu. Je aliyeimba hiv utamzungumziaje...?
MTOTO IDD Kazua balaa, mtoto Idd kazua mikosi, yupo kama kapandwa na kichaa, anayehitaji kurekebishwa...!
 
Duh kazi kweli kweli.., yaani huyu jamaa (LiKud) amemezwa mzima mzima na mfumo dini. Sipati picha kila anapousikia wimbo Yahaya jazba zinampanda Kama si kukwazika na jina lililotumika ktk wimbo!! Nadhani hata JD alipokuwa anatunga na hatimaye kuimba huo wimbo (YAHAYA) hakuwa na mtazamo hasi kama wa LIKUD!! Likud unahitaji kukua kimtazamo na kimawazo.., si kila jambo linahusiana na dini yako tukufu (uislam)!!
 
Hizo zilikuwa kipindi hicho, halafu Anitha and Vaileth hawakupewa bad image, zilikuwa ni nyimbo za mapenzi tu, but huu wa Yahaya anamzungumzia kijana aitwaye Yahaya ambaye anajihusisha na masuala yasiyo faa katika jamii kama vile utapeli nakadhalika, halafu mbaya zaidi huu wimbo umetoka kipindi hiki ambapo Tz tupo katika kipindi ambacho udini upo juu sana.

Udini upi huo ulioushikia bango?! Kama vipi na wewe tunga wimbo wako.., uupatie jin la kikristo mf. Judith na umwage radhi upendavyo uone kama kuna mwendawazimu atakaye-comment kwa nini wimbo umepewa jina Judith hata kama maudhui yangekuwa mazuri/mabaya!!!
 
Mimi ni miongoni mwa mamilioni ya watanzania ambao wana ji identify themselves kama mashabiki wako wakubwa. But kina kitu kimoja ambacho kwa maoni yangu ninaona hakipo sawa . Nacho ni kuhusu wmbo wako uitwao YAHAYA. Wimbo wako ni mzuri na unaelimisha jamii but kwa nini usingetumia jina tofauti na YAHAYA. Kwanini ninasema hivyo?

1. YAHAYA ni jina la kiislamu, na miongoni mwa majina ya kiislamu yenye maana kubwa kwa waislam.
2. Wewe ni mkristo wa madhehebu ya wasabato.
3. Hapa kwetu nchini Tanzania kuna vugu vugu la waislamu na wakristo. Waislamu wamekuwa makini sana kwa kila kitu kinacho fanywa na mtu yoyote yule mwenye jina la kikristo hususani pale maslahi ya dini ya kiislamu ama jina la kiislamu linapotajwa. Sihitaji kulizungumzia hili kwa kina kwa sababu naamini huwa unafuatilia taarifa mbalimbali za habari so am sure as hell unafahamu ni kitu gani kinaendelea kati ya wakristo na waislamu Tanzania wakati huu.

( KITU CHA MSINGI KUELEWA HAPA NI KWAMBA, KITU CHOCHOTE KILE KITAKACHO TAJWA NA MKRISTO DHIDI YA UISLAMU AMA MUISLAMU KWA NAMNA YOYOTE ILE KINAWEZA KUCHUKULIWA KAMA KASHFA DHIDI YA UISLAMU )

Hivyo basi wimbo wako wa YAHAYA ingawa una ujumbe mzuri, but unaweza kukuletea matatizo na waislamu wa Tanzania ambao wanaweza kuuchukulia kama kashfa dhidi yao. Maadui zako wanaweza kuitumia hiyo kama loop hole na ku dress beef lenu kulifanya lionekane kama beef kati yako waislamu.

MAPENDEKEZO: Nikiwa kama shabiki wako, ninakushauri ubadilishe haraka iwezekanavyo jina la wimbo YAHAYA na kutafuta jina lingine lolote lile. Katika kutafuta jina nakushauri utafute jina ambalo halihusiani na jina la dini yoyote kati ya ukristo na uislamu. Unaweza kutumia majina yanayo tumiwa na watu wa dini zote kama vile MAWAZO.
Ukibadilisha jina la wimbo wako, utajijengea heshima kubwa sana kwa mashabiki wako ambao ni waislamu na watachukulia hiyo kama heshima kwao.
Sina mengi ya kuongea zaidi ya hayo. Natumaini umenielewa.

NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 13 YA LADYJAYDEE.

Yani wew ndiyo mdini kabisa.
 
Hapana kaka mimi sio mbaguzi na wala siwezi kuwa mbaguzi. Am an enligghtened person. Ubaguzi is for low lives
Hapo kwenye red yo what?!!. You piece of Sh**t as a matter of fact, Stay away from Jide sio levo yenu
 
Tupa jiwe gizani litakaempata ndiye huyo nadhani mshaanza kumjua Yahya heheeee Jide hatariiiii wewe
 
Kuna wimbo wa Athuman- juwata

Aisha mwanaseifu - msondo hawa
 
Back
Top Bottom