Waraka wa wazi kwa mh. Raisi dr. Jakaya mrisho kikwete - kutoka udom

@Enkokromi, lugha ya mawasiliano kwenye ofisi zote za Serikali ni Kiingereza na Kiswahili. Hiyo ya Mwenyekiti kwa kuwa ni ya kikazi zaidi na ni ya ndani, na pia ni ya kisheria zaidi, tuliamua tuandike hivyo, ila ingeweweza kuandikwa hata kiswahili.

Hiyo ya Mh. Raisi, kwa sababu ni ya wazi na lengo ni Jamii ielewe uozo huu, ili tutakapofanya maamuzi magumu watuelewe. Hawa watoto watakosa mtihani, chuo kitafungwa. kwa hiyo ni lazima kuweka rekodi sahihi. Pamoja na yote ukweli unabaki kuwa ukweli..

Pia ikumbukwe walimu hawajawahi kumuunga mkono mtu yoyote sisi ni liberals. wale walikuwa wanafunzi. lakini kwa serikali ya namna hii hatuna sababu ya kuiunga mkono hata kidogo.:disapointed:
 
KWELI. JK anajua kwanini hawezi kuwatimua Mlacha na Kikula

Mlacha na Kikwete Wote wameoa nyumba moja. Sasa hizi kilele zitapigwa mpaka basi, ila haya yatakwisha. Uacheni wakati utaamua wenyewe
 
hayo yanatokea kwa wakubwa huko juu. Je mwayafahamu ya college of education? non academic staff wana review courses? mwafahamu pia kuwa wako wachache tu ambao malipo yao lazima yalipwe siku hiyo hiyo ya kikao chao lakini invigilation na vikao vya course review walizofanya wasioitwa colleagues hawajalipwa?
 
we nd meshimiya anatanua braisilia sasa saa ngapi atakumbuka ya udom si unajua saasa hatakuja kuomba tena kura kwenu muanguke ccm au cdm au ile cuffff yeye hanayo habari bali anaendelea kujaza mfuko wake huoni na salma safari hii kaupatia brasilia... poleni watz jibu ni kwenye boxsi la kura kama tutaelewana....:embarassed2::embarassed2:
 
We the University of Dodoma Staff Asociation (UDOMASA) reitarate to our humbled concern stated herein and proceed to resolve that, the Association which is obliged to take up and ensure the welfare of the University staff is maintained, is not ready to bear with such unproceduralities leading to prejudicing the terminated staff.
The Association further resolves that, it will take the appropriate steps if the Council will refuse and or neglect heeding to this letter.
We are much obliged.
................
Richard Alphonce
Deputy Secretary – UDOMASA
Cc: Vice chancellor (UDOM)
DVC-ARC (UDOM)
DVC-PFA (UDOM)
STC (UDOM)
Chairperson-UDOM Staff Disciplinary Appeals Committee
 
nyie ni walimu c wanafunz ndo hatuna hamu kabsa nahki chuo tunataka kwnda field lakn mpaka nw hutujui tunaenda wap na kwa pesa zp mwka jana tumeenda field tumepewa pesa wiki moja kabla ya kumalza tena zkiwa nusu tumerud tumezdai mpaka kesho nichenga tu.
 
Labda mimi mbumbumbu naomba mnisaidie. Barua ya wazi kwa raisi inaweza kuwa ya umma?
Wala hujakosea, wewe ni mbumbumbu kwelikweli!!! Kwani kuwa wazi maana yake nini? Ingekuwa ya siri basi ingeendea kwa president tu... Acha ushamba na kutuopotezea mda wewe..
 
Hivi huyu jakaya kwa nini anamkumbatia huyo mlacha me nadhani suala hili lipelekwe bungeni kama la mawaziri lilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…