Waraka wa wazi kwa mwanangu Koku

wewe muharibifu sana ndo maana nilikunyima binti yangu......waayii!!!
bamwambie,halafu ana approach 45 mke hana,kazi macho mia mia shingo feni,hovyooooooo!
 
Haka kajamaa naona kafataki sana eti kanataka akumuadd FB Koku, Baba Koku ukimkutanisha Koku na hako kajamaa basi form 5 Koku anaweza asiende
hawa wa hivi hawanibabaishi,na mwanangu kila siku namtahadharisha nadhara ya hii mitandao.
 
Haka kajamaa naona kafataki sana eti kanataka akumuadd FB Koku, Baba Koku ukimkutanisha Koku na hako kajamaa basi form 5 Koku anaweza asiende
Khaaaaa!!! Julieth hadi wewe...msinifanyie hivyo jamani Koku wa watu atagoma kwenda Form 5 shauri zenu...:lol:
 
huyo TF dawa yake iko jikoni,we mwache,kwanza hayo ma dobberman nyumbani kwangu atasogea?
Hajakujulia tu,
Angeongea vizuri na ww mikiwa kauta ya juu,
Labda labda ungemweka kwenye waiting list lol!
 
hawa wa hivi hawanibabaishi,na mwanangu kila siku namtahadharisha nadhara ya hii mitandao.

Mwambie asubili amalize form 6 ndo aende computer training akizijua mapema hizi FB na twitter ataharibika mapema
 
Khaaaaa!!! Julieth hadi wewe...msinifanyie hivyo jamani Koku wa watu atagoma kwenda Form 5 shauri zenu...:lol:

Navyo kuangalia kwa macho mawili nakuona wewe kafataki kadogo unachafua watoto wa watu
 
Naomba kuombewa, yaani mie kitu kikishakuwa kirefu siwezi, hata siku ya kufa ukishaniwekea kwenye marefu wala siiitafuti.
Bora namba aisee, hazisumbui kabisa.

Asante, ngoja niprint ntasoma nikiwa kwenye dabodeka home.
 
Ujumbe mzuri sana..tunashukuru bishanga..ngoja tudese ili tuweze kuwashauri watoto wetu!!
 
Kwani TF ana shati la kitenge?
Rule namba wani ya fataki, lazima ujue kuvaa mashati ya kitenge
Rule 2, lazima uwe una kitambi cha kufungia mkanda
Rule 3, ntakuja, mkoloni kankodolea usoni

Haka kajamaa naona kafataki sana eti kanataka akumuadd FB Koku, Baba Koku ukimkutanisha Koku na hako kajamaa basi form 5 Koku anaweza asiende
 
Naomba kuombewa, yaani mie kitu kikishakuwa kirefu siwezi, hata siku ya kufa ukishaniwekea kwenye marefu wala siiitafuti.
Bora namba aisee, hazisumbui kabisa.

Asante, ngoja niprint ntasoma nikiwa kwenye dabodeka home.
take your time Kongosho.
 
He he he, christiano Ronaldo, anafanya tukio ambapo hamtegemei hata kama ni kufunga timu yake mradi kapachika bao.
Ha ha ha, vijana wa mjini nawapenda, hamwishi kunipa raha mie

Mageti mengi, ukuta mrefuuu na walinzi juu, kajamaa kalala ndani kwako mwenyewe na binti wako mwenyewe. Kweli wazazi tutajibeba na hii dot com

Khaaaaa!!! Julieth hadi wewe...msinifanyie hivyo jamani Koku wa watu atagoma kwenda Form 5 shauri zenu...:lol:
 
wanangu kila siku nawaimbia mauzi wanayonipa wajue na wao wakikua watoto wao watawafanyia hayo hayo.
 
bamwambie,halafu ana approach 45 mke hana,kazi macho mia mia shingo feni,hovyooooooo!

Yeye kila aonacho anataka kiwe chake.....haya sasa miaka inayeya hiyoo

Jameni Jameni mnaniharibia CV yangu kwa Koku....bht binti yako alinimwaga kisa alipoona nina VISA Card badala ya MASTER Card

TF hivo CV yako ilikuwa bado nzima?.......lol!!! (daah mtakatifu wangu wa siku za mwisho unaniangusha)
 
Hii imetulia sana, kasinge Bishanga kwa kushare nasi.

Il Gambino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…