Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
una umri gani?
3o vp kuna tatizo?!!
Heeee jeans za kuazima na raba za kichina.......!!!!
Hater ana hate!!
una uhakika na umri wako!?
Umeoa au do u have a girlfriend?
habari wana jamvi ni matumaini yangu wote wazima na mnaendelea vizuri na mapumziko weekend hii,nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa tasnia ya muziki wa hip hop na bongo fleva kwa kipindi kirefu na mengi yametokea kama nyimbo nzuri,wasanii wakali na makundi makali ya muziki but wanajamvi kuna huyu msanii known as izo biznes but siku baada ya siku amekua ananichosha na uandishi wa mistari yake haina vina wala mizani zaidi ya kumuona na majinsi mapana ya kuazima na raba za kichina katika video zake kusema kweli wapenzi wa muziki tunataka mziki mzuri na sio mistari ya kuunga unga ya rapper huyu toka mbeya nawasilisha!!!!!!!!!!
ni rapper yupi unamkubali wewe bongo?
Baasi Miss strong usishangae saaanaaaa ila elewa tu kuwa kuna kitu nyuma ya maneno hayo.Heeee jeans za kuazima na raba za kichina.......!!!!
Baasi Miss strong usishangae saaanaaaa ila elewa tu kuwa kuna kitu nyuma ya maneno hayo.
i dont hate kaka natokea mbeya pia but nataka kuwa muwazi katika hili!!
'anayekuroga anayekujua'
we ni hater huna hoja... piga kimya watu wafanye business.... hujui muziki wewe mbona jamaa aba vina vya kutosha tu
habari wana jamvi ni matumaini yangu wote wazima na mnaendelea vizuri na mapumziko weekend hii,nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa tasnia ya muziki wa hip hop na bongo fleva kwa kipindi kirefu na mengi yametokea kama nyimbo nzuri,wasanii wakali na makundi makali ya muziki but wanajamvi kuna huyu msanii known as izo biznes but siku baada ya siku amekua ananichosha na uandishi wa mistari yake haina vina wala mizani zaidi ya kumuona na majinsi mapana ya kuazima na raba za kichina katika video zake kusema kweli wapenzi wa muziki tunataka mziki mzuri na sio mistari ya kuunga unga ya rapper huyu toka mbeya nawasilisha!!!!!!!!!!
Hahahah ukiona hivi ujue demu wako anamkubali mshkaji au anamkata demu wako si bure wivu utakuuwa wedogo.....mombasa watu kama nyie mnawekwa nani