Warangi wakarimu kuliko ukarimu wenyewe

Ukioenda kimboka warangi wamejaa, kwasokoto wapo warangi wengi, tandika usiku warangi ni wengi sana pita riverside kuanzia dararani noma, chako ni chako warangi ni wengi yaani zinabondwa nyama tu
 
Nakubaliana na hili, kuna familia ya kirangi ilihamia hapa mtaani, kibinti chao kuna siku nimeshtua cha Arusha kidogo, nikakishika trako, nikaskia "aiii, halafu wewe, aku mii staki" nikashindwa hata kuomba msamaha

Sema ni wazuri ila shapeless
 
Ukioa urangini jua pisi kali nyingi sana zitakuwa zinakuja kuishi kwako kwa kisingizio cha ushemeji. Na hapo ndio mtihani utakapoanza maana ni wazuri , wachangamfu sana tu...so ukinichanganya utakula dada na wadogo zake wote wa kike
Hawa wanatoka.mkoa /wilaya gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…