Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
Waliojaliwa kuwa wazuri huwa wazuri sana pia waliojaliwa wowowo basi huwa ni za kukata na shoka. Ni wacheshi sana na pia kwa kiasi kikubwa wamestaarabika pia ni wapole.
Na WANYATURU je???
Yan apa unanfanya nimwangalie mhusika af narud jf! Teh teh
>Wanapenda kwel kurud rudi kondoa kusalmia ndugu even unnecesary!
una maana wakirudi wanawafuata ma x wao? au kwa nn wanapenda kurudirudi kwao?
ma x ma y ma z wote..ya ma x, wapya,.
Ila n wakarimu kwa wagen wakuja na kuondoka,si wa kustay,esp wamume! Lol
aise unaonekana una wafaham sana...kwa hiyo kuoa mrangi ni kujitia presha tu...asante kwa ushauri...nimependa sarakasi zako..
Duuh aisee kweli Warangi ni noma nakumbuka miaka hiyo pale Magomeni Kagera karibu na Popo Bawa kuna jamaa wa Kirangi alikuwa na Fusso lake limeandikwa Kalia Kitu pia na kijigorofa pale kwake ni kwamba wakati ule walikuwa wamajazana Warangi kibao kila mtu anamsujudia mpaka wale wauza kahawa,sasa wakati ule nkauliza hivi hawa ni familia ya huyu jamaa lkn sikupata jibu lkn leo nimepata jibu hapa kwa Jf kuwa mmoja akiwa nazo watajazana sana.Pia nakumbuka demu mmoja wa Kirangi mchana ushungi mkubwa lkn kuanzaia saa 20 mbili za usiku utamuona anashukilia maeneo ya Makanya Bondeni pale aliuwa anampeleke jamaa angu ile kitu....... na alikuwa na Ta..ko.ni balaa pia nilimtembelea hata mie kwa ulaini sana tu na alikuwa hana hiana kwani hata kile kitu kitamu alikuwa anatoa tu.
Nice topic
Wameshika dini sana.Na wengi wao ni waislam kondoa kwao ni zanzibar flani hivi