Warangi wana Sifa Gani..?

Status
Not open for further replies.
pia sisi warangi....tuna undugu na wahindi na waarabu......na tunapenda kufanya kazi kwao.......
 
Waliojaliwa kuwa wazuri huwa wazuri sana pia waliojaliwa wowowo basi huwa ni za kukata na shoka. Ni wacheshi sana na pia kwa kiasi kikubwa wamestaarabika pia ni wapole.

wowowo bila mguu bora uwe kama shosti nyuma kama mbele mbele kama nyuma!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
ni wahudum wa bar, yani hapa shytown bar zote ni warangi tu.
 
1. Usafi ni sifa yao kubwa mfano wakike akiosha ndala yupo radhi akanyae tope kulko lapa liguse.
2. Vicheche si wa kike au kiume.
3. Uvivu (kukaa vijiweni na kukimbilia mjini kwa ndugu).
4. Wachoyo na wabinafsi.
5. Wanaume hawajali familia zao wanakula mgahawan siku njima kuanzia chai, wakati nyumbani kwake ni kama mita 400 na ili hali hana kazi bali hela ni ya mazao aliyo uza.
Source warangi Engusero-Kiteto.
 
Duh leo tu nimetoka kumtafuna dem wa kirangi ambaye ni bekitatu wa nyumba ya jirani
 
 
Sifa kuu ya wanawake wa kirangi ni ndumba!!!!!! naamini wanaongoza hapa nchini. Lazima utulizwe, nakwambia lazima ulogwe, labda hujaingia kwenye 18 zake. utajuta.
 
mmh we mleta hii thread kabila gani?kabla cjakujibu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…