Hi JF funs!
I would like to get from those who know the following in respect to the above mentioned subject,
1..je kuna sheria ngapi zinazo govern uendeshaji kesi katika baraza hili hapa TZ? na ni zipi? taja.
2..Je kuna utaratibu maalum ya kupeleka maombi katika baraza hili?
3..kama jibu la swali 2 hapo juu ni ndio, je mfumo wa affidavit, chamber summons zina apply katika baraza hili?