The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,397
- 1,786
We nae mtataNakwambia hao bado sana, kuna watu kamera haziwapitii tuu uswazi kwetu huku ni hataree
10 . Sio Mtanzania huyo.
Wanawake mabonge vepee????
Mbona sijamuona kidoti hapo?
Hakuna Akafie India kwa Wabaguzi wenzake.Mtanzania huyo mwenye asili ya Upanga.
Wana safari ndeefu sana kumfikia mke wangu!!1:Gyver Meena
View attachment 350958
2:Belina Mgeni
View attachment 350959
3:Nelly Kamwelu
View attachment 350961
4:Jacqueline Patrick
View attachment 350963
5:Nancy Sumary
Most Beautiful And Sexiest Tanzanian Women You Must See
Bongo ndo Mwisho mkuu, hata Ukuryani kwetu Kuna akina Rhobhi, Wanchu, Wankuru n.k Ni wakali Sana sema No Camera za 360 Na Pia Hawana Memory Card.Wale mnaosifia nchi jirani kwa kuna watoto wakali hebu piteni hapa mtuletee mmoja wa level ya kidoti na Nancy.
Wana safari ndeefu sana kumfikia mke wangu!!