Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Mabonge wana list yao inaitwa Miss Bantu...Nafikiri mabonge si warembo ktk vigezo vya kimataifa.
Mke wako wa kigogo bado sana hapo.Wana safari ndeefu sana kumfikia mke wangu!!
Humfaham!!Mke wako wa kigogo bado sana hapo.
Wagogo ni wa kawaida sana.Humfaham!!
Kwa ku-generalize, Wewe nakufananisha na wazazi wa rafiki yangu wanaetaka kumzuia mshikaji asioe mmachame eti siyo watu wazuriWagogo ni wa kawaida sana.
1:Gyver Meena
View attachment 350958
2:Belina Mgeni
View attachment 350959
3:Nelly Kamwelu
View attachment 350961
4:Jacqueline Patrick
View attachment 350963
5:Nancy Sumary
Most Beautiful And Sexiest Tanzanian Women You Must See
Salma K
sheria ya makosa ya mtandao iko hewani muda woteMalizia kabisa mkuu,hiyo K ni te au mtu gani huyo
Mbona mkeo mgogo na sijasema sio mzuri!Kwa ku-generalize, Wewe nakufananisha na wazazi wa rafiki yangu wanaetaka kumzuia mshikaji asioe mmachame eti siyo watu wazuri
Mkuu hivi hapa Afrika mashariki kuna warembo wanaowazidi hao?Ukitaka kujua hii list imekosewa nenda kwa wambulu huko manyara
Mrs Mengi mbona simuoni ktkt warembo wa bongo ni vema akawemo,hazeeki
Kamwelu kaachwa mbali na Mrs machacheHapo labda ungependekeza nani atolewe ili yeye aingie
Yap........Uswazi ndio wapo wengi ila hawaonekani tu.!Nakwambia hao bado sana, kuna watu kamera haziwapitii tuu uswazi kwetu huku ni hataree
Kamwelu kaachwa mbali na Mrs machache
Nisha sijamuona kwny listi hio