Warembo Humanities UDOM mtanimalizia muwe na huruma na BOOM langu

Mkuu ukifika social utazimia hebu ukuje
 
ILA sababu unahudhuria semina TMT hata uki disco haina noma saana...maaana TMT ni nouma
 
Ulishindwa kum.face hapo hapo mpaka uje kumuanzishia thread huku? Kama hayumo humu? Kweli "wanaume" wanapungua kwa kasi sana, na lazima utakuwa umempigia 'puli' usiku
 
ah,UDOM ilikuwa kipindi hicho bwana..enzi za Old Social...kabla hawajaletwa wale watoto wa Special Diploma!

Social ilikuw patashika,sijui kama wamesharudiha hadhi yake pale social au bado wadogo zetu wanaendelea...yaani Social ndo town ya UDOM watoto classic mbayaaaa

Ahhaaa,umenifanya niwakumbe watoto wazuri waliowahi kuuteka moyo wangu by then Rose (mtoto wa kichaga) na Jane (mtoto wa dar).
 
Dogo piga kitabu acha uboya alafu hao boom likikata utawalea ww
 
Acha ushamba dogo, alafu hapo CIVE usipoangalia lazima udisco
 
Dogo piga buku, ao warembo hapo UDOM sisi walitukutapo enzi izo na wala hatukuzuzuka kama ww,,, kumbuka kuna makontena ya mama salma apo na sapu/disco zipo pale pale tena info ndio balaa kwa ku disco na carry, so achana na nyapu zilizooza piga pindi.....
 
Ndio nyie mkimaliza mnakaa kwenye magroup ya Watsap kuinanga serikali kama haitoi ajira!
Endelea kutafunwa hizo pesa Na hao warembo, uone kama hizo papuchi utarudi nazo kwenu!
 
Ulishindwa kum.face hapo hapo mpaka uje kumuanzishia thread huku? Kama hayumo humu? Kweli "wanaume" wanapungua kwa kasi sana, na lazima utakuwa umempigia 'puli' usiku
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Sisi tulikuwa wanzilishi wa College zote unazoziona hapo Udom tumekaa. Ushauri wangu dogo soma hao watoto kila mwaka wanakuja wengine
Asome! Disco sio kabisaaaaaaaa. UDOM ndio kwetu.
 
Vijana wenyewe kama hawa siwezi kustaajabu Watanzania kupelekeshwa kama misukule tu.

Nchi za Ulaya, Asia na Amerika vijana wasomi walio vyuoni ni nguzo muhimu sana kwa maendeleo ya taifa husika.

Vijana endeleeni kulala, wenzenu hawalali na nakuhakikishia mtaendelea kuwapokea nchini kwenu wakija kwa mgongo wa wahisani/wadau wa maendeleo/wawakezaji nk. mnaukaribisha ukoloni mamboleo wenyewe!
 
Akikua atawadha zaid katika kusoma na kutafuta maisha... sa iv bado naona akili za u first year zimemkaa kichwan... ije test update 2/20 ndo unajua chuo umefwata nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…