Warembo kumi wanaofatiliwa na kuandikwa zaidi na vyombo vya habari Afrika mashariki

Ilikua jukumu langu ku qoute post yako mkuu. Ivi darasani juma anaongoza matokeo ya mwezi wa nne akija Rose akaongoza matokeo ya wa sita tumweke Rose wa pili kwa sababu juma aliongoza wa nne? Ni ivi kila mtu ana mtazamo tofauti.
 
Hahaha hamjawatendea haki fans wa wema awekwe jamani.
Btn huyo wa namba 9. Ndo nani?
 
Ilikua jukumu langu ku qoute post yako mkuu. Ivi darasani juma anaongoza matokeo ya mwezi wa nne akija Rose akaongoza matokeo ya wa sita tumweke Rose wa pili kwa sababu juma aliongoza wa nne? Ni ivi kila mtu ana mtazamo tofauti.
OK nimekupata mkuu point yako wewe haija base katika mfano wangu, mimi nimetolea mfano wa marapa bola wa muda wote, mfano hai, we mara ya mwisho kumskia NAS akiwa kwenye game ni lini? Utakubaliana namm kuwa ni siku nyingi sana, ila katika list ya marapa wa muda wote yupo mbele ya Kendrick ambae amehit sana hii miaka 3. Kwahiyo kwa hesabu za haraka haraka ata NAS hakupaswa kuwa mbele ya 2pac ila ndo hivo shakur hayupo na Kendrick yupo. Tukirud kwenye hii mada pia utakubaliana namm kuwa wema mwaka jana up to now ametrend kuliko gigy money, hapo ndipo mfano wako wa Rose na Juma unapofeli, kwakuwa ipo vise versa, yani Juma aliongoza mara zote mbili
 
Hahaha asee atueleweshani vizuri ila sio mbaya tuachie apa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…