Warembo kuvaa nguo zenye maandishi ya kusisimua, uko ni kutegana.

Warembo kuvaa nguo zenye maandishi ya kusisimua, uko ni kutegana.

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nikikuona dada mrembo umevaa nguo yenye maandishi ya kunishawishi au kusisimua, nitachukulia yale maandishi ndicho wewe unacho maanisha.

Kwa hiyo mimi nikitekeleza kwa kufuata yale maandishi yanavyotaka mimi nifanye, usinione mi mbaya.

Shauri yenu warembo, endeleeni kuvaa nguo zilizoandikwa 'kiss me', 'hold me', 'hug me' n.k​
 
Huu Uzi bila hizo picha unazozizungumzia haunogi
dr.jpg
 
Back
Top Bottom