Warembo machachari, mpo wapi? Popote pale mlipo, tukutane kiwanjani

Warembo machachari, mpo wapi? Popote pale mlipo, tukutane kiwanjani

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Mida ya kusogelea viwanja unakaribia kufika. Mwanaume bila kuwa na ubavu wake wa kushoto, mapumziko huwa hayaendi vizuri.

Mida ya jioni, ndio huwa mida mizuri ya mitoko kwa wanawake pamoja na wanaume; baada ya kutimiza majukumu yao ya wiki nzima; sasa ni muda wa kujifariji baada ya kuutumikisha mwili kama mashine.

Wanaume wengi hupendelea, kutembelea maeneo yenye warembo wengi pamoja na huduma nzuri za kiwanja husika.

Nawauliza, warembo machachari mpo wapi?
 
Yaaani leo hata sielewi kuna demu nataka nimtoe date japo mgonjwa ila huyu hatombeki na kuna demu nataka nikutombe yaaani hata sielewi niende wapi
 
Back
Top Bottom