Warembo Miss Tanzania 2010

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752



Warembo waliofanikiwa kuingia Fainali ya Taifa ya Mashindano ya Urembo ya VODACOM MISS TANZANIA 2010, waingia kambini katika hatua ya mwisho ya kinyang’anyiro cha kumsaka mrithi wa MRIAM GERALD ambaye anamaliza muda wake wa kuwa Mrembo wa Taifa.



Wakiwa kambini warembo hawa watakuwa na ratiba mbali mbali ikiwa ni pamoja na kufanya kazi za kijamii na kutembelea sehemu mbali mbali za vivutio vya kitalii kama ifuatavyo:-


· Tarehe 17 / 08 / 2010 warembo watapewa semina maalumu na viongozi wa kamati ya Miss Tanzania pamoja na kusaini mikataba kati yao na waandaaji.


· Tarehe 19 / 08 / 2010 waandishi wa habari wote watapata nafasi ya kuongea na washiriki na kupata maoni yao na jinsi walivyojiandaa katika kunyakuwa taji la VODACOM MISS TANZANIA 2010


· Mwishoni mwa wiki warembo wote wakiambatana na baadhi ya viongozi wa kamati watasafiri kwenda katika mikoa ya kanda ya kaskazini “KILIMANJARO: na “ARUSHA” kwa ajili ya kutembelea vivutio vya utalii ili kuvitangaza na kuwahamasisha watanzania ili wajenge utamaduni wa kutembelea, kuvilinda na kuvithamini vivutio vyetu. Huu ni mpango tunaoshirikiana na taasisi za serikali yaani ,BODI YA UTALII, TANAPA na NGORONGORO CONCERVATION AREA AUTHORITY.


Huu ni mwaka wa pili taasisi yetu “Miss Tanzania” kushirikiana na taasisi za serikali kuhamasisha watanzania kuthamini na kutembelea vivutio vilivyopo nchini kwetu.


Tunategemea kwenda mbele zaidi kwa kuvitembelea vivutio vya kusini mwa Tanzania, SELOUS, RUAHA NATIONAL PARK, MIKUMI na UDIZUNGWA, katika siku za usoni.


Walimbwende walioingia kambini ni:- Ester Dennis na Gloria Kaale,Shadia Mohammed, Furaha David na Mary Kagali ,Bahati Chando, Salma Mwakalukwa na Consolata Lukosi,
Beatrice Premsingh, Willemi Etami na Pili Issa, Flora Florence, Mary Adam na Angelina Ndege.


Wengine ni Alice Lushiku, Irene Hezron, Amisuu Malick ,Genevive Emmanuel, Anna Daudi na Britney Urassa,Glory Mwanga, Prisca Mkonyi na Jally Murei,Gloria Mosha na Christine Justine,Flora Martin, RachelSindbad, PendoSam Fatma Ibrahim, Buduri Ibrahim na Margareth Godson.


Fainali za mashindano hayo makubwa ya Urembo nchini yanataraji kufanyika Septemba 11 2010 jijini Dar es Salaam
 
hivi huwa hawafanyagi kazi (office) au wakati wa mashindanno wanaacha kazi....nimeuliza tu
 
Ni wkt muafaka wa mapedeshee kwenda kujichagulia totoz.
 
hivi huwa hawafanyagi kazi (office) au wakati wa mashindanno wanaacha kazi....nimeuliza tu

Hivi Preta unafikiri what more else they can do kuna rafiki yangu alishiriki kwenye hii kitu baada ya mashindano kumaliza kila siku kwake yalikuwa yanapaki magari ya aina tofauti kila ukienda unakutana na sura tofauti she doesn't work but she's leaving,eating and dressing kama alivyosema Fidel80 mapedeshee wanafanya kazi yao
 
Hivi na wewe Mfukunyuzi ni mpiga picha wa kujitegemea na mie nimeuliza tu?
 
Haya mjomba Lundengaaaaaaa mali mpya kwako hizo, kweli bongo kuna warembo sana ila naomba kama kuna mtu mwenye photos za miss rwanda atupe maana nasikia hao ni funika bovu.Best wishes mamiss.
 

Hivi hiyo picha ya kwanza hapo juu ndio ofisi ya Kamati ya Miss Tanzania mhhhh mhhhh :confused2:
 

sasa hapa nashawishika kupata mawazo ya kwamba miss Tanzania is more than that....uuh God forbid
 
hivi huwa hawafanyagi kazi (office) au wakati wa mashindanno wanaacha kazi....nimeuliza tu

Hajjat Preta:

U-Miss ni KAZI - You can make leaving in and out of it!

Tatizo langu kubwa kama alivyobandika Fidel80 ni kwamba kuazia sasa hadi mwisho wa mashindano kila mshiriki atakuwa amefanya ngono na wanaume zaidi ya watano at least! Hii nalisema kwa kuwa nimekuwa nikifanya uchunguzi under-cover kuhusu mashindano ya u-miss na nime-conclude kuwa apart from what we see kuna uchafu mwingi unafanyika "behind the scene" - Mabinti wanageuzwa kuwa MAKAHABA!
 
Huyo mwenye Top Blue ana kibinda nkoi mazoezi ya ziada yanahitajika

Anashiriki kwa sababu maalum! Beauty Contest is more than what you see, touch, or measure, it about everything they DO!
 
Waremvbo hawa wa Miss Tabata, kama warembo wenyewe wa Vitongoji ndio wa viwangu hivi nina wasiwasi na hata products za miss Tanzania in general...

 
For the past 3 years MISS Tanzania haijaleta walimbwende! Imekuwa ni bora twende! shame!
 
Watumishi kazi mnayo, wenye roho nyepesi mtakula kondoo zenu!
 
:welcome:They look beautiful but their clothings do!
I advise the orgenisers should use more clothings of african tradition to advertise our african prestige even to the outsiders since it will promote tourism an thus income generation rather than only consuming.




'ukikumbuka njaa yako ya jana,utajua kwa kuupata mkate wa kesho'
 
watumishi kazi mnayo, wenye roho nyepesi mtakula kondoo zenu!
hata ingekuwa ni mimi nawala tu kwani shida iko wapi?kama hawadanganyiki unajisevia tu kama self service buffee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…