Warembo Miss Tanzania 2010

Mwaka huu Tanzania hatuna mwakilishi..hawa mamiss nadhan wangekuwa wanashindanishwa kiMabara..sidhani kama mshiriki wetu anaweza kuwa bora zaidi ya nchi nyingine za africa..mwaka huu wamekaa kichovuchovu tu...Tuwe na Miss Africa wetu akashindane na wengine wa mabara mengine...vinginevyo hawa mabinti wataendelea kuwa chakula cha hao mapedejee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…