Warembo wa bongo filamu mmmh!!

Warembo wa bongo filamu mmmh!!

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
DSC09675.JPG
DSC09704.JPG
DSC09651.JPG
DSC09743.JPG
 
Hapo walikuwa katika mitego yao ya kila siku,mavazi gani hayo ya kuonesha mapaja wazi kama si wauzaji?Kama ni Bongo filamu basi ni mwavuli tu wa kujifichia mambo yao
 
Sasa hiyo mitinga-tinga ina urembo gani? wa-kujikobowa kutaka weupe wasio nao na kujitia nywele za kuji fanya wahindi ambazo sio (natural) yao kabisa.

Mimi kananifurahisha kale ka model ketu kako south africa, hakajikorogi wala hakajitii hizi nywele za maiti. Kako natural na kanapendeza kweli! Tena kwa kuonyesha kuwa uzuri si nywele kanazipiga kipara kabisaaa.

Siku hizi mie nashangaa hawa madada, majority weupe na majority wana nywele za kichina, na nasikia hata makalio wanayaongeza kwa kutumia dawa za kichina? hivi maumbile aliyotupa/wapa Mwenyeezi Mungu tunayasuta? yaani alitukosea kutuweka hivi tulivyo?

Nakumbuka enzi za kawawa alipiga marufuku pasi zote za kuchomea nywele! naona sasa ma-chemical ya kuchomea hizo nywele ndio mabaya kuliko hizo pasi.
 
Jamani!, Itafika wakati, Nadra kuona Mwanamke wa Kibongo Mweusi!!!!LOL
 
Duh hizi paja kweli condom utaikumbuka??hata kama zipo kwenye walet na suruali hipo ktk henga utaona maili mia akyinani!!
 
Duh hizi paja kweli condom utaikumbuka??hata kama zipo kwenye walet na suruali hipo ktk henga utaona maili mia akyinani!!

Vipi mkuu akili yako huwa inahama kabla ya pambano!!
 
Back
Top Bottom