warembo wa dodoma

Aaah! Pole sana mpendwa mpendwa hivo vitu huku Dom utatafuta sana Dom hatuyajui hayo mambo
Mungu akusimamie sana!
 
Unatanga utuunganishe kwenye dhambi zako? beba mzigo wako mwenyewe.
 
Unatuharibia kwaresma yetu wewe shetani unayetembea.
 
acha zako sasa utajipimaje wakati wachukuwa henancement drugs....kitu pumzi yako mwenyewe

Sitaki kusikia kuna mwana JF amefaint huko dom, ni vyema ujihami kama umeamua kumng'ang'ania shetani wako
 
nenda juu udom,ukikosa nenda mitaa ya makole kalbu na cbe wapo wa kumwaga dau lako tuu.
 
Acha utoto kama mwanafunzi wa boarding kapewa townleave!!!
 
nenda juu udom,ukikosa nenda mitaa ya makole kalbu na cbe wapo wa kumwaga dau lako tuu.

mbona nipo hapa karibu na cbe...fifty six hotel...labda moda ya usiku ndio warembo wanatoka
 
1. nenda maisha club
2. nenda makole karibu na club laaziz
3. chek chek watoto wa CBE
4. chek chek watoto wa UDOM( sociology)
5....................

note; NGOMA NJE NJE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…