Warembo wa JF mmeumbika!

Warembo wa JF mmeumbika!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Kwanza namshukuru muumba kwa siku njema ya Leo!

Naandika huu Uzi maalumu kwa warembo Wa jf wote ambao Mungu kawapamba kwa kila tunu njema! Sura,tabia murua Na maumbile ya kukata kwa kisu!

Sura za duara macho ya irine uwoya ya kusinzia mithili ya kula kungwi yake joanal

Umbile la nyigu kiuno namba namba ya ukwelee yake kapeace!

Figure matata za warembo kadhaa siwataji hahaha mbitiyaza!

Macho matamu kama yake mumu

Ngoja niishie hapa[emoji23] [emoji23]
 
Tatizo umechanganywa na I.D maneno yako sio ya uhakika, kumbuka hii mitandao bado ina changamoto kwa watumiaji wake.
 
wanawake wengine humu sura za baba zao ila sio mbaya tunawapenda hivyo hivyo
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Baby hivi unajua macho yangu yameelekeana na ya uwoya kweli😛

We mchawi nini?
 
Back
Top Bottom