hahahahahahaha, hii ni sawa na pale unapita sehemu kuna msiba wa mtoto mchanga, halafu wewe ukajifanya unajua sana marehemu, unaanza zako "Marehemu wakati tuko shule, A' Level alikuwa machachari sana...." hahahahahahDada siyo kwa chumvi hiii looh
Hahahahaha nilikumiss sana ujuehahahahahahaha, hii ni sawa na pale unapita sehemu kuna msiba wa mtoto mchanga, halafu wewe ukajifanya unajua sana marehemu, unaanza zako "Marehemu wakati tuko shule, A' Level alikuwa machachari sana...." hahahahahah
hahahahahahaha, ulikuwa mjeshi zamani hahahahahahahaAhhahajh ila yule raisi wa koreshia ni mimi kabisaaa!
nipooooooooooHahahahaha nilikumiss sana ujue
hahaha inawezekana ni mtu huyu mmoja dada,Kaka hili neno kila nikiliona najikuta nacheka tu.
Sababu kulikuwa na rafiki yangu alikuwa analipenda mnoo sasa akilitamka basi waeza cheka kutwa.
Anaeza kuwa yeye aiseee.hahaha inawezekana ni mtu huyu mmoja dada,
huyu mwingine pia akilisema nachekaga sana...alafu akilisema kwa mshangao flani hivi, hahaha
life is good dada yangu furahi tu, watu kama hao ni wakuwa nao sana.Anaeza kuwa yeye aiseee.
Yaani ninapoandika hapa najikuta naijenga ile sauti lol.
"Acha bwana" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hapo ndipo ujue hapendwi bali alicho nachoMitandaoni huko Kila mwanadada anampenda mbappe!
Angekuwa bongo mngekuwa msha mpwelepweta mtoto wa watu
Kumbe umependa sura?Najua basi best!
Naye pia analipenda pia hilo neno.Kama Davet
Hakika Kakalife is good dada yangu furahi tu, watu kama hao ni wakuwa nao sana.