Warembo wa JF

warembo wapo mkuu,,hata huko kitaani kwenu wapo sio lazima huku.
 
mi wa kiume.
Afadhali mkuu kwa sababu kuwa wa kike ni taabu tupu,mara wanaume wapende chura,mara mwanaume huyu aseme saudia kunatema wakati wa chuma mboga,mara hiki,mara kile![emoji30] [emoji30] ..........Hongera kwa kuwa wa kiume dume la mbegu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…