Warembo wa JF

Warembo wa JF

We nae mpangilio wa aya majanga:
Nimeona kuna sehemu

umechangia binafsi

nimetokea kukuelewa,upo

vizuri.
Sentensi kama'mama alienda sokoni kununua ndizi unaiandika,
Mama
alienda sokoni
kununua
ndizi.
Ila hongera kwa mtongozo.
 
Mbona mimi sipati wa kuniambia wamependa michango yangu?
Maji ya bahari yananihusu .
Hannah binafsi nipoona komenti yako Moto wangu unaniambia kuwa wewe ndio chaguo sahihi la mtima wangu💝💝💝💞,lakini nikupatie wapi mimi nipate tulizo la Moyo wangu💘💘💘♥️♥️♥️
 
Back
Top Bottom