Kweli hautojutia. Nitakukirimu.
Hahahaha, basi jiandae mm nitakua mgeni wako muda si mrefu sawa ?Wanaofunga PM ni wanaosumbuliwa. Sasa mimi sipati PM nafunga ya nini?
Hapa nipo tayari kabisa kwa kukupokea.Hahahaha, basi jiandae mm nitakua mgeni wako muda si mrefu sawa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, masihara hayaHapa nipo tayari kabisa kwa kukupokea.
Tena kama wewe nakutamanigi sana.
😂😂😂😂sasa nyie mnapitaga PM yangu kama hamuioni. Vibaya hivo.
Hahahaha, hao vijana wanachagua sana, sisi wazee acha tuje PM tuweke mambo vzr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa nyie mnapitaga PM yangu kama hamuioni. Vibaya hivo.
Swali gani hili sasa? 😂😂😂
Hahahaha, Mzee vipi tena , hatimae nimekaribishwa PM na bi HannahHadi nimemwonea wivu mzee mwenzangu mtu chake
Umeona PM mbn hujajibu sasaSwali gani hili sasa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe wenzangu wameshiba PM hadi zingine hawajibu?dunia haina usawa kweli.Nilishawahi kujaribu kwenda PM kwa watu watatu tofauti, sikujibiwa hata moja.
Nikaona hiki kipaji cha PM siyo changu.
Hahahaha, mm pm nilienda moja nikajibiwa jibu hilo ,mmmmhNilishawahi kujaribu kwenda PM kwa watu watatu tofauti, sikujibiwa hata moja.
Nikaona hiki kipaji cha PM siyo changu.
Nimeishafika PM ujue nasubiri jibuKumbe wenzangu wameshiba PM hadi zingine hawajibu?dunia haina usawa kweli.
Njooni nyie wazee ndio wazuri.Hahahaha, hao vijana wanachagua sana, sisi wazee acha tuje PM tuweke mambo vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, Mzee vipi tena , hatimae nimekaribishwa PM na bi Hannah
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kumbe PM zangu nikitumiwa yawezekana huwa zinaishia njiani.