Warembo wa kiarabu wa Tabora

Nataka kujua je hukupata tabu kwao kidini na watoto wanafuata dini ipi,
 
Ni kabila gani huyo mdada wa kiarab?
 
Laki tatu kwa wiki mbili? Daaah kweli watu hamfanyi starehe kabisa
 
Hebu simama kama Mwanaume wewe!!!. Unaogopaje kumbadilisha shemeji kufuata Imani yako?. Mbona Waislamu wakioa Mkristo wanambadili anakuwa Muislamu?. Wewe jamaa unatuangusha wanaume Marijali.
 
Kweli kabsa bukene mabinti machotara wengi Ila cha ajabu vijana wa maeneo hayo wanawaogopa balaa mpaka wanazeekea nyumbani, kisa eti wanawaona sio hadhi zao.
Natamani kurudi bukene.
 
Kuna lodge gani nzuri hapo Bukene Mkuu? Utalii wa ndani unahusika sana.
 
Bukene sikuona lodge kabsa bali guest tu. Unataka ukabebe chotara wa kiarabu na kinyamwezi!!!?
Kama jibu ni ndio utapata wa kumwagaaaa kbsa japo mchana hutowaona kwa wingi ila kuanzia saa moja usiku utawaona kwa wingi wakiuza vitu vibarazani kwao.
 
Inawezekana "kumchomoa" hapo kibarazani Mkuu?
 
Bukene sikuona lodge kabsa bali guest tu. Unataka ukabebe chotara wa kiarabu na kinyamwezi!!!?
Kama jibu ni ndio utapata wa kumwagaaaa kbsa japo mchana hutowaona kwa wingi ila kuanzia saa moja usiku utawaona kwa wingi wakiuza vitu vibarazani kwao.
Mkuu vipi, nawezaje kumtoa mtoto wa kiarabu hapo Bukene? Hebu nipe uzoefu wako aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…