Mabinti wa Kihabeshi ndio wanaoongoza kwa uzuri wa beauty barani Afrika kama Waajemi wanavyoongoza Arabuni. Sijawahi kupata taarifa zozote za warembo hawa kama uzuri huo ni kote kote. Wazuri wengi, uzuri wao huishia kutazama tuu. Kwa yale mengine, mabingwa ni mabinti wa Kiganda 'Baganda Women'.
Miaka ya nyuma kuja jahazi mbili zilileta wanawake wa Kisomali 120 wakafikia Ilala Bungoni, mchana wakijifunika ghubi ghubi na usiku walivamia soko la viwanja, naambiwa wale madada zetu walilala njaa kwa siku kadhaa maana walitawala soko lote, lakini kumbe ni kwa muda mfupi tuu, wateja waliwakimbilia kwa fahari ya macho tuu, ila wakishapita walikuwa hawarudi!
Kwa wahabeshi sijui ila wao ni jamii ya semi-nilotic, kama walivyo Wambulu, Warangi na Wabalungi.