Warembo wa Singida, Kondoa na Manyara wapewe maua yao kwa kuipendezesha Arusha, Ni pisi Natural kali

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Arusha ni makutano makuu ya Warangi, Wanyaturu, Wanyiramba, Wamangati na Wairaqw (Wambulu) kutokea mikoa niliyoweka kwenye Heading.

Effortless beauty, natural beauty, Yani ni wazuri bila makeups.

Kuhusu Tabia, Elimu, imani, n.k. hio ni ligi nyingine lakini kwenye kigezo cha urembo kuanzia sura, shape, kimo, n.k. wapo juu.

Your browser is not able to display this video.
iju
 
Wazaramo, Wamatumbi, Wangido na Makabila mengine ya pwani wakisoma hapa wanaona wivu, waeundwa kwa miili yenye maziwa makubwa, makalio pasi na Viguu vyembamba km supoku za baiskeli za Samia..
Hakuna anaechagua kujiumba, si sawa kudhihaki watu kwa maumbile yao, By the way Uzuri uko machoni pa mtazamaji, wengine hawaangalii sura wanaangalia mashavu, miguu, macho, n.k.
 
Wewe unaangalia WEUPE NA UZURII au beautiful 😍 ni WEUPE.
 
Kwa hiyo nikienda kondoa sita weza kuwapata nitaishia kuwatazama tu
Mkuu huwezi kufananisha mjini na kijijini, tena nahisi ni nchi nzima, watu huwa wanajiachia zaidi mjini, huko vijijini mambo yapo local sana
 
Kama hawana akili hizo ndio type zangu
 
Wairaq ni weupe ama weusi, wana uso uliotengenezwa vizuri, wana rangi nzuri, wana nywele nzuri walio wengi.....

Kwenye shepu ambayo ni Tako, hips na mapaja plus miguu na nyonyo..... Wapo wenye figure nzuri, wapo wenye figure ya kawaida, na wengine hatujajiumba

Nimeishi nao nyumba moja, wana kitembeza mpk muiraq mmoja akaniambia ni kabila langu lkn, hii imezd
 
Hako kademu ka mwisho kenye 777 kifuani kana mdomo na lips nzuri kweli kweli
 
Wale wa Picnic, Mrina tujuane hapa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…