Warembo wanaosaka taji la miss mwanza hawa hapa!

Warembo wanaosaka taji la miss mwanza hawa hapa!

Pwaaaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
248
Reaction score
67
Picha ya 1: Washiriki wa shindano la Miss Mwanza 2013, wakisikiliza
kwa makini maelekezo dhidi yao kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya
SISI Intartainment inayoandaa shindano hilo, John Dotto (hayupo
pichani), katika ukumbi wa Villa Park jijini Mwanza jana.

Picha ya 2: Walimbwende wanaoshiriki shindano la kumsaka Miss Mwanza
2013, wakiwa katika pozi la pamoja, muda mfupi baada ya kumaliza kikao
chao na Mkurugenzi wa SISI Intarteinment anayeandaa shindano hilo,
kwenye ukumbi wa Villa Park jijini Mwanza jana.
 

Attachments

  • Miss Mwanza.jpg
    Miss Mwanza.jpg
    9.2 KB · Views: 857
  • Warembo.jpg
    Warembo.jpg
    8.5 KB · Views: 864
Kweli warembo wa ukweli huwa hawashiriki. Demu wangu anawazidi wote hao!
 
Msimu mwingine wa kutengeneza malaya mujini. Tunawasubiri kwa hamu....
 
Back
Top Bottom