hivi siku hizi wanawake hawavai magagulo (underskate) kabisa?
nauliza tu
maana zamani mpaka uione kufuli ujue umebarikiwa
kila kitu nje,sijui alichobakisha kwa ajili ya mumewe/mpenziwe ni kipi.siku hiz sehemu za siri ni sehemu za nini sijui coz sio siri tena.
Chupi nyeusi utadhani mchawi bwana! Maguo meusi yanawafaa wachawi bwana, hebu kabadilishe chupi wangu unatuangusha hivyo
kwa uvaaji huo ndugu yangu kituko hata gagulo litavaliwaje?
mie kanikera zaidi huyo wa kulia, nyonyo nje, kufuli nje halafu kufuli mbayaaaaaa.
hivi siku hizi wanawake hawavai magagulo (underskate) kabisa?
nauliza tu
maana zamani mpaka uione kufuli ujue umebarikiwa
hahaha nyamayao afadhali hiyo nyeusi inaendana na nguo hiyo alovaa............mlitaka avae rangi ya bendera? lol
nafikiri kwa watu wanaovaa nguo fupi mno kama hizi, inachukuliwa kuwa ni class kuvaa kufuli nyeusi tena iwe in the form of shorts (kwa huku nchi za nje)
kwa hiyo mie naona kapatia bwana 😀
mi kaniudhi kuvaa mchupi mweusi utadhani muuza mkaa