Warembo wetu

Joined
Nov 13, 2010
Posts
91
Reaction score
7
Baadhi ya warembo wa bongo huamua kuachana na wapenzi wao mara tu wanapopata umaarufu. Baada ya hapo huanza kujilengesha kwa watu maarufu na wazungu ambao nao wana mademu lukuki. Ndio maana kila siku unasikia skendo. Lakini 'big up' kwa warembo wenye misimamo ambao wamedumu na wapenzi wao kwa shida na raha
 
Na point yako ni.....? na kwanini usiwatumie congrats or well done card and has to be here in JF
 

hii ina uhusiano wowote na sisi hapa JF.....mbona kama ni binafsi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…