Warioba ashitua Nchi

Warioba ashitua Nchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa Mpya inayotamba mitandaoni kwa sasa

Habari kamili hii hapa

Screenshot_2025-02-12-23-18-26-1.png
 
Na warioba hanaga iyana ukifika kwake mikocheni.
Akiweza anakutia hata milioni 5 nenda kapambane.
Mzee kanyooka sana huyo.
 
Hii ndio Taarifa Mpya inayotamba mitandaoni kwa sasa

Habari kamili hii hapa

View attachment 3234763

Kwa mtanzania mwenye mapenzi ya dhati kabisa na nchi hii kwa sasa mwanasiasa mwenye maono na mwenye upeo mkubwa kabisa wa mambo ya kitaifa na kimataifa ni Tundu Lisu .
Sitegemei kama Warioba hafuatilii kinachoendelea na bado akili zake zipo timamu kabisa ukimlinganisha na wale wanaoshindwa hata kuzijua katiba za vyama vyao.

Inasikitisha sana kuona Mwenyekiti wa chama hajui katiba ya chama mpaka anategemea ushauri wa wazee wakati katiba ipo .
Mtu ambaye hajui kilichomo kwenye Kakijitabu kama kale ka chama atajua vipi kilichomo kwenye kijitabu cha Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania au matamko ya UN. Matamko ya AU na katiba zake n.k.

Wasi wasi wangu yule mwenyekiti hata zile juzuu 30 za kitabu cha dini yake hazijui na hadithi za mtume ndio hajawahi hata kuzisikia. Maana angezijua hata hadithi za mtume bila shaka angeipenda pepo kuliko dunia .Asingetaka kulazimisha kuwa juu ya wanaume mil.31 tena kwa Rushwa .

Laana kutoka kwa Allah iwe juu yake na chama chake na rushwa wanazotoa ziwe ni laana kwao na vizazi vyao duniani na ahera .
 
maCCM yanamsubiria mgombea wa CDM yampopoe kwa maneno yale yale ya CDM waliyopopoana kwenye uchaguzi wao wa chama
 
Kwa mtanzania mwenye mapenzi ya dhati kabisa na nchi hii kwa sasa mwanasiasa mwenye maono na mwenye upeo mkubwa kabisa wa mambo ya kitaifa na kimataifa ni Tundu Lisu .
Sitegemei kama Warioba hafuatilii kinachoendelea na bado akili zake zipo timamu kabisa ukimlinganisha na wale wanaoshindwa hata kuzijua katiba za vyama vyao.

Inasikitisha sana kuona Mwenyekiti wa chama hajui katiba ya chama mpaka anategemea ushauri wa wazee wakati katiba ipo .
Mtu ambaye hajui kilichomo kwenye Kakijitabu kama kale ka chama atajua vipi kilichomo kwenye kijitabu cha Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania au matamko ya UN. Matamko ya AU na katiba zake n.k.

Wasi wasi wangu yule mwenyekiti hata zile juzuu 30 za kitabu cha dini yake hazijui na hadithi za mtume ndio hajawahi hata kuzisikia. Maana angezijua hata hadithi za mtume bila shaka angeipenda pepo kuliko dunia .Asingetaka kulazimisha kuwa juu ya wanaume mil.31 tena kwa Rushwa .

Laana kutoka kwa Allah iwe juu yake na chama chake na rushwa wanazotoa ziwe ni laana kwao na vizazi vyao duniani na ahera .
Umeandika maneno mazito sana hizo paragrafu mbili za mwisho
 
Wapinzani sijui kwanini kila wakati wanakosea step.
Hapa kama walienda kujadili siasa na uchaguzi mkuu wa 2025,basi washapigwa KO
2025,tupo na Mama
 
💭💭💭
 
Umewahi kujiuliza , kwa mfano Yule mama wa mafisadi duniani ingetokea siku moja akapigwa kajiwe mguuni au mkononi .
Au akakoswa na karisasi pamoja tu na mali zake zote za kifisadi zikachukuliwa .Akakosa madaraka yoyote leo hii angekua na nini cha kuweza kusimama na kuzungumza mbele ya watanganyika mil.64?
Bila shaka asingebakiwa na kitu kichwani kwa sababu ni mweupe sana kichwani ukilinganisha na Mwamba Lisu anatembea na risasi mgongoni na matundu ya kutosha mwilini Lakini bado anauwezo wa kukaa na kulihutubia taifa na watu wenye akili kubwa wakamuelewa wakabaki mafisadi ,mavunza na machawa yanayoshiba kwenye mizoga ya miili ya watu wakimkejeli .
Lisu ni mpango wa Mungu kwa wale tunaoamini ni ishara ya wazi kutoka kwa Mwenyezi Mungu mkuu.
Kwa wanaojua risasi moja tu ya Automatic Machine Gun au AK47 wanajua shughuli yake. Risas moja ikielekezwa kwako ikakulenga tumboni na bado nyingine zinaendelea kuelekezwa kwako na kuendelea kukupiga Sehemu mbali mbali za mwili ni wazi kuwa kama wewe sio komandoo basi utajiharishia na kujikojolea na kutoa mpaka manii kwa hofu kubwa na kukiona kifo mbele yako na adui yako bado anaendelea kueleza risasi kwako mpaka Magazine ibaki empty . Na bila huyana Adui yako anatoa na pisto na kupiga risasi 7 kuhakikisha hakuna kiumbe kilichokaa eneo hilo kinatoka . Ghafla Dunia inasikia huyo binadamu aliyeelekezwa bunduki na kupigwa risasi kumnyamazisha milele ,bado yupo hai na akihutubia Taifa juu ya haki na kupinga dhulma na uonevu na kuua watu kwa sababu ya madaraka . Anasema tujenge nchi yenye watawala wenye hofu ya Mungu na wenye kutenda haki na kushindana kwa hoja na kupata kura kwa haki ili wawaheshimu wapiga kula na kuweka mbele maslahi ya umma .

Kama Lisu kupona na kuendelea kusimama na kusema kwa ujasiri juu ya Haki sio mpango wa Mungu basi hakuna Mungu kabisa . Maana katika falsafa za nchi zenye watu wenye dini ni wazi kuwa tunatenda haki na kuepuka dhulma na uonevu kwa sababu ya kumuogopa Mwenyezi Mungu au sheria kali kama ilivyo kule Saud Arabia .

Kwa wasiomwamini Mungu wanaogopa sheria kali zinazowekwa na watu wenye imani za kali za kujenga pepo hapa hapa duniani .Sasa CCM ya Samia imesimama wapi .
Hawamuogopi Mungu ,hawaogopi katiba na sheria walizoziweka wenyewe , hawatungi sheria kali kuwadhibiti wale wote wanaokwamisha uwezo wa serikali wa kutenda kama Mungu na kujenga pepo hapa duniani ili tuwasujudie kama miungu badala yake wanaacha kila mmoja kula na kujijengea pepo yake na familia yake tena kwa kupitia ofisi na fedha na mali za umma kwa nafasi yake .
Hakika CCM hii ya Dr.Samia sio tu haistahili kuongoza nchi bali hata kuwepo duniani haistahili kabisa mana haina chochote inakifanya kwa ajili ya umma mkubwa wa watu mil 65 zaidi ya kundi dogo kutumia rushwa ili watukuzwe na kuvimbiwa nyimbo za kuabudiwa na kusifiwa kwa mgongo wa maono ya Magufuli .
 
Wapinzani sijui kwanini kila wakati wanakosea step.
Hapa kama walienda kujadili siasa na uchaguzi mkuu wa 2025,basi washapigwa KO
2025,tupo na Mama
Njaa inakudhalilisha sana
 
Back
Top Bottom