Wapinzani sijui kwanini kila wakati wanakosea step.
Hapa kama walienda kujadili siasa na uchaguzi mkuu wa 2025,basi washapigwa KO
2025,tupo na Mama
Umewahi kujiuliza , kwa mfano Yule mama wa mafisadi duniani ingetokea siku moja akapigwa kajiwe mguuni au mkononi .
Au akakoswa na karisasi pamoja tu na mali zake zote za kifisadi zikachukuliwa .Akakosa madaraka yoyote leo hii angekua na nini cha kuweza kusimama na kuzungumza mbele ya watanganyika mil.64?
Bila shaka asingebakiwa na kitu kichwani kwa sababu ni mweupe sana kichwani ukilinganisha na Mwamba Lisu anatembea na risasi mgongoni na matundu ya kutosha mwilini Lakini bado anauwezo wa kukaa na kulihutubia taifa na watu wenye akili kubwa wakamuelewa wakabaki mafisadi ,mavunza na machawa yanayoshiba kwenye mizoga ya miili ya watu wakimkejeli .
Lisu ni mpango wa Mungu kwa wale tunaoamini ni ishara ya wazi kutoka kwa Mwenyezi Mungu mkuu.
Kwa wanaojua risasi moja tu ya Automatic Machine Gun au AK47 wanajua shughuli yake. Risas moja ikielekezwa kwako ikakulenga tumboni na bado nyingine zinaendelea kuelekezwa kwako na kuendelea kukupiga Sehemu mbali mbali za mwili ni wazi kuwa kama wewe sio komandoo basi utajiharishia na kujikojolea na kutoa mpaka manii kwa hofu kubwa na kukiona kifo mbele yako na adui yako bado anaendelea kueleza risasi kwako mpaka Magazine ibaki empty . Na bila huyana Adui yako anatoa na pisto na kupiga risasi 7 kuhakikisha hakuna kiumbe kilichokaa eneo hilo kinatoka . Ghafla Dunia inasikia huyo binadamu aliyeelekezwa bunduki na kupigwa risasi kumnyamazisha milele ,bado yupo hai na akihutubia Taifa juu ya haki na kupinga dhulma na uonevu na kuua watu kwa sababu ya madaraka . Anasema tujenge nchi yenye watawala wenye hofu ya Mungu na wenye kutenda haki na kushindana kwa hoja na kupata kura kwa haki ili wawaheshimu wapiga kula na kuweka mbele maslahi ya umma .
Kama Lisu kupona na kuendelea kusimama na kusema kwa ujasiri juu ya Haki sio mpango wa Mungu basi hakuna Mungu kabisa . Maana katika falsafa za nchi zenye watu wenye dini ni wazi kuwa tunatenda haki na kuepuka dhulma na uonevu kwa sababu ya kumuogopa Mwenyezi Mungu au sheria kali kama ilivyo kule Saud Arabia .
Kwa wasiomwamini Mungu wanaogopa sheria kali zinazowekwa na watu wenye imani za kali za kujenga pepo hapa hapa duniani .Sasa CCM ya Samia imesimama wapi .
Hawamuogopi Mungu ,hawaogopi katiba na sheria walizoziweka wenyewe , hawatungi sheria kali kuwadhibiti wale wote wanaokwamisha uwezo wa serikali wa kutenda kama Mungu na kujenga pepo hapa duniani ili tuwasujudie kama miungu badala yake wanaacha kila mmoja kula na kujijengea pepo yake na familia yake tena kwa kupitia ofisi na fedha na mali za umma kwa nafasi yake .
Hakika CCM hii ya Dr.Samia sio tu haistahili kuongoza nchi bali hata kuwepo duniani haistahili kabisa mana haina chochote inakifanya kwa ajili ya umma mkubwa wa watu mil 65 zaidi ya kundi dogo kutumia rushwa ili watukuzwe na kuvimbiwa nyimbo za kuabudiwa na kusifiwa kwa mgongo wa maono ya Magufuli .