Warioba asisitiza katiba mpya Tanzania

The constitutional reform is indispensable and unstoppable despite of desperate efforts from CCM to delay it.
 
Reactions: BAK
Watanzania wengi kama sio wengi sana, wote tunajua shinikizo la uhitaji wa Katiba Mpya ni KUTOKA KWA VIONGOZI WA UPINZANI! Kwa nini wanatoa shinikizo hilo la kutaka Katiba Mpya!? Jibu ni rahisi sana, viongozi hao wanadhani kuwa KUSHINDWA KWAO kwenye chaguzi mbalimbali au chaguzi zote ni kwa sababu ya hii Katiba ya SASA! Wadhani ikipatikana Katiba Mpya WATATOBOA! Thubutu! Hayo ndiyo mawazo yao, halafu sababu nyingine, ni kuwa wanataka POSHO! Walishaonja ASALI SASA WANATAKA KUCHONGA MBUYU! Hawa, wengi wao walishiriki kwenye MCHAKATO, WAKALA ILE MIPOSHO, sasa wanaitaka hiyo miposho tena! Kwa sababu shinikizo lao hili likikubaliwa, "watadai liitishwe Bunge la Katiba ili kurekebisha mambo fulani fulani eti kwa kisingizio ni muda mrefu umepita tangu Bunge lile liipitishe ile Katiba Pendekezwa kwa ajili ya Kura ya Maoni". Hii ndiyo hatua ya pili watakayo kuja nayo IKIWA SERIKALI YA AWAMU YA SITA ITAINGIA MKENGE HUU! Iam just thinkinig ALOUD. Subirini muone!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 UPUUZI MTUPU!! Butiku na Warioba ambao nao ni maccm wanavyosisitiza umuhimu wa kuwa na katiba mpya wanataka nini? Wapuuzi kama wewe mnafurahia kuishi katika nchi ambayo haina HAKI NA UHURU, vyombo vya habari havina uhuru, Watanzania hawana uhuru wa kuchagua Viongozi mbali mbali wawatakao katika chaguzi. Chaguzi zimejaa hila, vitisho, wizi na hata mauaji ili tu genge la wahuni wa maccm waendelee kung’ang’ania madarakani.

 
Y
Katiba mpya ni hitaji la watanzania hivyo halina mjadala ni lazima ipatikane ni suala la muda tu
Yaaah uko sahihi upatikanaji wa Katiba Mpya ni "suala la muda tu"! Basi wasubiri, wasiipe Serikali yetu SHINIKIZO itende "kwa muda wao", Serikali itatenda "kwa muda wake" kama alivyosema Rais Samia Suluhu Hassani. Tusubiri tufanye ya maana zaidi ya hili la Katiba Mpya jamani.
 
Mfumo wa vyama vingi una miaka 30 sasa hili genge la wahuni wa maccm kama lilikuwa na nia ya kweli ya kuhakikisha katiba mpya inayoendana na mfumo wa vyama vingi kwanini imeshindwa kufanya hivyo kwa miongo mitatu!?
 
TU
Hili suala linataka hoja siyo matusi au majibu ya mkato mkato. Suala la UPUUZI linatoka wapi! Halafu kila mtu anayo haki ya kusema lolote atakalo, huo ndio uhuru wa kujieleza na utekelezaji wa dhana ya haki yako ya kidemokrasia na uhuru wa kujieleza, kama alivyo fanya Comrade Bashe!
 
Hukuona hoja? Sasa kama unaonyesha upuuzi unataka NIREMBE? Matusi mnayaona sana lakini udhalimu na dhuluma za hadharani hamzioni.
miaka 30 sasa bado hakuna katiba mpya hilo hulioni halafu unakuja hapa kuandika ujinga wako.
 
Katiba ni moyo wa taifa na ustawi wake hivyo ni muhimu kuliangalia hili shida ni kwamba CCM wanaona wakikubali agenda ya katiba mpya basi wanatekeleza agenda ya CDM hapa ndo mzizi wa fitina upo
 
Hukuona hoja? Sasa kama unaonyesha upuuzi unataka NIREMBE? Matusi mnayaona sana lakini udhalimu na dhuluma za hadharani hamzioni.
miaka 30 sasa bado hakuna katiba mpya hilo hulioni halafu unakuja hapa kuandika ujinga wako.
Ujinga unaoandika humu na hasa kuhusu hili la Katiba Mpya siyo mawazo yako, wewe umelishwa na kuaminishwa useme tu haya maneno usemayo. Anayekulipa ndiyo mwenye kosa wewe ni kama kasuku tu. Pole sana!
 
Una akili finyu sana wewe!! Hunijui lakini umeweza kuhitimisha kwamba haya si mawazo yangu binafsi. Endelea kuamini huo upuuzi wako. Nimo humu mwaka wa 14 sasa na muda wote huo msimamo wangu kuhusu genge la wahuni wa maccm ambao ni maadui wakubwa wa Watanzania haujabadilika na wala hautabadilika.
Wapuuzi na wachumia tumbo kama wewe ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Mmeweka mbele njaa na matumbo yenu ya maslahi ya Taifa.
Miaka 60 ya uhuru nchi ina rasilimali chungu nzima lakini haina chochote kile cha kujivunia. Ajira, elimu, afya, usafiri, huduma muhimu maji, umeme etc zote ni hovyo hovyo tu lakini ZWAZWA wewe huoni hilo bado unapiga makofi maccm ni nambari one.
Ujinga unaoandika humu na hasa kuhusu hili la Katiba Mpya siyo mawazo yako, wewe umelishwa na kuaminishwa useme tu haya maneno usemayo. Anayekulipa ndiyo mwenye kosa wewe ni kama kasuku tu. Pole sana!
 
Sawa kabisa umekuwa ukiendeshwa na akina TOBO kwa miaka yote hiyo 14 kwa sababu kabla hujaja wewe humu JF, akina TOBO na GAIDI walikuwepo na wakakutumia kuanzia hapo hadi leo bado wanakutumia. Hongera sana kwa kutumika for all those 14 years! Asiye taka kuona hata ukimpa hadubini ya Kirusi inayoona anga za juu hawezi kuona. Wenzako walikuwa hivyo hivyo lakini sasa wanaona na kuzikubali sera za CCM. By the way mjengo wa pale Ufipa unaendeleaje? Mmeshindwa kujenga ofisi, mkipewa li- nchi hili mtaliweza kweli!?
 
Tafadhali acheni Kumchonganisha Mzee wa Watu Waziri Mkuu na Jaji Mstaafu Warioba na Rais ( Mwenyekiti CCM Taifa ) Samia pamoja na Chama chake Tawala.
 
Kwa ufinyu wa akili yako kwa kuwa wewe mganga njaa na mchumia tumbo unatumika ili ugange njaa zako basi unadhani kila mtu anafanya huo ujinga. Maslahi ya Tanzania ZWAZWA wewe umeyaweka pembeni kabisa ili tu uendele kurushiwa makombo na hao wanaokutumia ili waweze kuendelea kuivuruga Tanzania.
Nyie wenye ofisi nzuri sana madarakani miaka 60 ni cha maana mlichokifanya kwa Watanzania zaidi ya Sera MUFILISI? Mwaka wa sita huu Wafanyakazi hawana nyongeza ya mishahara, ajira hata kwa graduates hakuna, pesa mtaani hakuna, kodi ni kubwa kuliko nchi yoyote ile jirani. Dhuluma na udhalimu kwa Wafanyakazi. Wakulima na Wafanyabishara kila kukicha lakini MPUMBAVU wewe huyaoni yote hayo.
 
Unachofanya wewe kwa miaka 14 hukioni!? Be independent BAK acha kutumika. It will cost you. Unaoneshwa haya ya sasa na akina Tobo na wewe unayalipukia, acha hizo zita kucost!
 
hv kwann nchi hii mmejaa majuha hv???
 
Reactions: BAK
hv mbna unaonesha ujahil hv hadharan???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…