Warioba asisitiza katiba mpya Tanzania

Angalia namna ulivyo zuzu
 
Situmiki mpuuzi wewe haya ni mawazo ambayo Mtanzania yoyote yule mwenye mapenzi ya kweli ya Tanzania anatakiwa kuwa nayo. Ningekuwa nataka kutumika basi ningeungana na genge la wahuni wa maccm ili nifukuzie teuzi but I am not that stupid and cheap to betray my own country.

Unachofanya wewe kwa miaka 14 hukioni!? Be independent BAK acha kutumika. It will cost you. Unaoneshwa haya ya sasa na akina Tobo na wewe unayalipukia, acha hizo zita kucost!
 
hv mbna unaonesha ujahil hv hadharan???
Kila mtu ana haki ya kusema na kutenda atendalo ili mradi havunji sheria za nchi na kuvuruga uhuru na haki za mwingine. Keep on as long as ni haki yako na uko ndani ya sheria, kanuni na taratibu za nchi na za JF!
 
Acha kabisa Mkuu majuha kama juha huyu ni wengi sana. Na haya ma juha ndiyo mtaji mkubwa wa hawa wahuni wa maccm.
hv kwann nchi hii mmejaa majuha hv???
 
Uhitaji wa katiba sio ishu ya warioba au chama flani

Hili nimhitaji la watanzania na watanzania hao watahitaji kuijua iliyopo kwanza kabla ya hiyo inayoombwa ili waweze kuchekecha kuona yalipo maslahi yao na sio ya wanasiasa.

Na alichokifanyia kazi warioba miaka ile kinaweza kuwa kimebadilika kwa kupungua au kuongezeka kwa uhitaji kama yalivokua mabadiliko ya kiutawala na kiuchumi katika awamu aliyokusanya maoni na awamu zilizofuata

Acha kazi iendelee
 
Huwa inashangaza sana anayejiita msomi then hajui umuhimu wa katba mpya,mpaka unajiuliza hv haya mazwazwa yamesoma shule gan???au yamelaaniwa???
Acha kabisa Mkuu majuha kama juha huyu ni wengi sana. Na haya ma juha ndiyo mtaji mkubwa wa hawa wahuni wa maccm.
 
Reactions: BAK
Kila mtu ana haki ya kuchagua apendacho, wewe umechagua kuwa upande wa MAGAIDI NA WAUAJI, well and good! Nikupinge au nipingane na uamuzi wako ili iweje. Matusi siyo part and parcel ya msamiati wangu, najitahidi kujibu VIHOJA bila matusi.
 
Kwa nini unaita “MKENGE”? Kipi cha kuitisha serikali ya awamu ya sita katika suala la katiba mpya? Kama ni posho, serikali ndio inayoamua. Sidhani kama ni vizuri kuifanya serikali kuonekana weak/nyonge kwenye suala hili.
 
Mwingine anayetumika huyu hapa.

Nasema MKENGE kwa maana ya kudanganywa, halafu, Serikali iogope nini na kwa nani?
 
Reposting 13 July article shows some desperation
Hawa jamaa Bwana are very knight picking...Wanaokoteza sana maneno kutafuta self justifications...Why that desperation?
 
Nasema MKENGE kwa maana ya kudanganywa, halafu, Serikali iogope nini na kwa nani?

Serikali makini haiwezi kudanganywa na ikadanganyika kirahisi hivyo. Maandishi yako yanaipa tahadhari serikali. Tahadhari hutolewa kwa jambo la hatari linalopaswa kuepukwa. Ndio uoga wenyewe huo.
 
Tangu Mbowe ametekwa na wahuni wa Sirro, hatusikii tena makongamano ya Katiba Mpya, tatizo nini ?
 
Ninakazia

Kuna mijamaa ikisikia katiba mpya, chadema, Mbowe, na vya namna hiyo - inapatwa kihoro cha kufa mtu.

Shuhudia inavyotokwa povu mithili ya kuwa imebwia Omo.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…